Naomba kama kuna alie apply Oryx position ya assistant accountant au anaejua kua watu wameshaitwa au tuendelee kua na matumaini
Pia niliomba but kimya hadi sasa!!!!
interview ilishafanyika last week, kuhusu majibu ya interview sijajua bado
ukipata basi taarifa tujuzane ili tusiendelee kujipa fake hopes