Rudolph Hess
Member
- Sep 29, 2013
- 29
- 9
Mkuu kama hutajali naomba picha zake.
chukua hiyo picha mkuu
Mkuu kama hutajali naomba picha zake.
kama huna gari naomba ukae kimya usiropoke kama huna kazi ya kufanya katafute kazi za kufanya
we ni mwehu unaandika mwenyewe tungo tata..unakosolewa unamaindi
elimu gani unayozungumzia wewe,labda hiyo ya udalali utakuwa umenipita,otherwise dont brag hapa kuwa una elimu,sasa usiambiwe kama unaandika sentesi zinazoleta maana usiyokusudia...sasa gari isiyopakwa rangi ni gari ya aina gani,kwa sababu hata nyeupe ni rangi pia,kuwa mpole kubali ulikoseatatizo elimu anyways sio kosa lako
kwa taarifa yako mie sio dalali fanya upelelezi unijue mie ni nani na vile vile sina mda wa kujibizana na wewe kwangu muda ni hela siko kama wewe uliekosa kazi unaanza kuingilia maada zisizokuhusu...endelea utakavyo sitokujibu coz nina kazi za kufanya siko kama weweelimu gani unayozungumzia wewe,labda hiyo ya udalali utakuwa umenipita,otherwise dont brag hapa kuwa una elimu,sasa usiambiwe kama unaandika sentesi zinazoleta maana usiyokusudia...sasa gari isiyopakwa rangi ni gari ya aina gani,kwa sababu hata nyeupe ni rangi pia,kuwa mpole kubali ulikosea
kwa taarifa yako mie sio dalali fanya upelelezi unijue mie ni nani na vile vile sina mda wa kujibizana na wewe kwangu muda ni hela siko kama wewe uliekosa kazi unaanza kuingilia maada zisizokuhusu...endelea utakavyo sitokujibu coz nina kazi za kufanya siko kama wewe
chukua hiyo picha mkuu