mwenye gari ya kuuza ani pm fasta

mwenye gari ya kuuza ani pm fasta

gsmsolution2009

Senior Member
Joined
May 7, 2013
Posts
120
Reaction score
7
mwenye gari kati ya zifuatazo gx100. altezza. rav4 au 6cylinder yeyote ani pm fasta nimpe hela kumbuka isiwe imepigwa rangi au kupata ajali namba ianzie B
 
mwenye gari kati ya zifuatazo gx100. altezza. rav4 au 6cylinder yeyote ani pm fasta nimpe hela kumbuka isiwe imepigwa rangi au kupata ajali namba ianzie B

isiwe imepigwa rangi?..sasa hiyo gari itakuwaje...si ni kama screpa la chuma hivi
 
Ningeomba mods wafungue jukwaa la magari at least wenye kupenda izi big toys tukutane ili tujuane na kufanya biashara au sio ndugu zangu! Mkuu pole kwa kutoka nje ya mada!!
 
mwenye gari kati ya zifuatazo gx100. altezza. rav4 au 6cylinder yeyote ani pm fasta nimpe hela kumbuka isiwe imepigwa rangi au kupata ajali namba ianzie B

nna GX 81 cc 1900 6 cylinder ya 1999 bei nzuri tu kama unataka
 
Nina GX 100 cresta siitumii huu mwaka wa 2 imepaki nyumbani ila namba ni ARJ, nauza mil4.5 kama utaipenda nistue iko poa kila kitu, rangi silver
 
kiongozi nina Alteza silver , number c inataka 12 . pia kuna G 100 number c inataka 7.5 gari hizi zipo kinondoni unaweza nicheki tufanye biashara hasa kwa kesho ingekuwa swafi . 0685 31 23 26
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom