switch Off
Member
- Oct 30, 2019
- 50
- 205
Mshtue mkuuhiyo offer unapata kisu kimesimama. Ngoja nimshtue kaka mukubwa aje.
Pia kama una Subaru Impreza itanifaa mkuu..sio lazima itsKwanini mnapenda sana ist
Kwanini mnapenda sana IST
Angalau Subaru Impreza, Arusha Subaru ndiyo gari zetu, ila pia IST zimekua nyingi balaa ongezea hela kidogo ukachukue impreza mpyaaa, achana na magari ya mikononi bongo yana matatizo utajuta ongeza hela hata kama ni hito ist ongeza milioni 2 unapata gari mpyaa toka japan,Pia kama una subaru impreza itanifaa mkuu..sio lazima its
Sawa mamitoFuel consumption
Una miaka mitano mingine utakaa bila gariMe nitanunua Magu akitoka madarakani
Nitatumia lakoUna miaka mitano mingine utakaa bila gari
Toyota kluger linakunywa mafuta balaa, subiri magu atoke tu madarakaniNitatumia lako
Kwanza sijawahi kuliona pale. Kuna siku nilikuwa kule juu (P) if you know you know ππToyota kluger linakunywa mafuta balaa, subiri magu atoke tu madarakani
[emoji707] Ziko floor ngapi pale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza sijawahi kuliona pale. Kuna siku nilikuwa kule juu (P) if you know you know [emoji125][emoji38]
Nilipita kote π[emoji707] Ziko floor ngapi pale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wale walinzi wakakuangalia kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unavyoingia na camera ziki roll na kukuzoom kabisa, basi walinzi hawana kaziNilipita kote [emoji38]
hii comment imenikumbusha elerai sec "fom sriii" eti we chachii niachie round mokoπππππUkishanunua mkuu naomba round
Camera hazina shida sababu sikufanya kibaya...Wale walinzi wakakuangalia kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unavyoingia na camera ziki roll na kukuzoom kabisa, basi walinzi hawana kazi
Ukishamuona itakua balaa kila nitakapo , nitabadili na rangi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Camera hazina shida sababu sikufanya kibaya...
Me nilikuwa busy kumtafuta mnyama lakini wapii mpaka nikahisi labda amebaki zizini