Hembi weka wazi hapa,Caravan mfano wa hiace ya kawaida au dungu?
halafu sema ni kazi gani inakwenda kufanya.
Maan hizi gani ni Nissan na zinahitaji umakini sana kwenye matunzo.So,muhim kwanza kujua ni kazi gani inakwenda kufanya.
Then unadhamana gani.
Na mkataba wa muda gani