Mwenye dictionary anisaidie

Mwenye dictionary anisaidie

Huyo dem wako weka mbali na watoto, waachie magwiji hupawezi hapo wewe...
 
We piga 0713 utajibiwa haraka na utapata majibu sahihi kwa swali lako
 
Naomba niwe wa mwisho kuamini hayo uliyo sema yamekutokea.

Kuna thread ya aina yako ziliitwa "BABY NIPELEKE CHOONI" ilishaletwa hapa na wakina gedo Mzizi mkavu.

Samahani lakini.

Yani wewe kila kitu tu ni kuwa mwisho kuamini??

sasa kama wa kuaminishwa ni wewe mmoja? huoni kuwa utakuwa wa kwanza kuamini kama utaamini?
 
Back
Top Bottom