Naona wewe ndie umekereka zaidi, baba mkwe anaingia vipi hapa? Cha msingi sijaona umuhimu wowote wa mtu kutaka kujua CV ya Makamba!
Kwani bado zipo hizo treni-si makamba ashaua zote au wajifanya hujui?Naona unataka kudandia treni kwa mbele... Imekula kwako!
Naona sina haja ya kujua CV yako... Hapo juu inatosha kujua asilimia 99 ya CV yako! Kwa ushauri ni bora ukakaa kimya kuhusu CV ya Makamba!ukiitaka naiweka tu,haina shida......sio ujinga wa mwafrika,ni ujinga wa waliompa cheo alichonacho sasahivi.mtu anaetumia nguvu kwanza akili baadae mnampa cheo kikubwa vile?bora wangekupa hata wewe
Upo serious kweli? Search kwenye google, ukiikosa huko, mtangazie Makamba nafasi ya kazi...Tuko serious tunataka CV ya makamba au ile ya kuwa mwl. Shule ya msingi ndio hadi mkuu wa mkoa hadi Ktb mkuuwa CCM, tunataka ya kishule zaidi.
Kwani bado zipo hizo treni-si makamba ashaua zote au wajifanya hujui?
Haya ni maelezo sio CV.....NARUDIA TENA hana CV
Naona unampenda sana Makamba!
Naona wewe ndie umekereka zaidi, baba mkwe anaingia vipi hapa? Cha msingi sijaona umuhimu wowote wa mtu kutaka kujua CV ya Makamba!
Cha msingi ni kuwa yule aliyemtehua kuwa katibu mkuu wa CCM aliridhika na CV yake. Hii aina maana kuwa wewe una uwezo wa kuhoji CV yake!Nguvu unayotumia kutetea hii issue ni kubwa mpaka inatia wasiwasi. Watu wanataka CV yake ili wapime kile anachoongea na upeo wake kielimu na kikazi. Yeye kuwa katibu wa CCM haituambii chochote kuhusu uwezo wake.
Shika adabu yako! Huyo Makamba amekuhusu nini wewe?Yes, I like her! Why not? but as an actor, NOT as my decision maker?
Unataka kumwajiri?
Shika adabu yako! Huyo Makamba amekuhusu nini wewe?
Itakusaidia nini wewe? Wacha ujuha!
Cha msingi ni kuwa yule aliyemtehua kuwa katibu mkuu wa CCM aliridhika na CV yake. Hii aina maana kuwa wewe una uwezo wa kuhoji CV yake!
Tafuta kingine ila sio hili!
Simply umeishiwa!Sorry bana kibunango! I love her:teeth::teeth:Teh Teh!
aliyemteua!!!!! mie nadhani
Cha msingi ni kuwa yule aliyemtehua kuwa katibu mkuu wa CCM aliridhika na CV yake. Hii aina maana kuwa wewe una uwezo wa kuhoji CV yake!
Tafuta kingine ila sio hili!
hata vidole huteleza sio ulimi tu!
Kumbe ni hivyo! Sasa kwanini msiende kwenye web site ya bunge? Makamba aliwahi kuwa mbuge wa kuteuliwa before... Mkiikosa huko jaribuni web site ya CCM...Hakuna anyehoji CV yake ila tunataka kuijua CV yake. Sasa tatizo liko wapi?? CV ya kiongozi siyo siri ndiyo maana kwa wabunge huwa zinawekwa kwenye web site ya bunge ili tujuwe nini tukitegemee kutoka kwa waheshimiwa wetu.