Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
Kipaji Halisi Ngoja Nimpe au Niwape Vipande Vyao Wale Wote Wanaotaka Kudandia Treni Ya GENTAMYCINE Kwa Mbele Na Nina Ukweli Zaidi Ya Huo Na Mkizidi Kunitibua Nitawaandikieni Hapa WARAKA Wote au MZIMA Wa Kundi Zima La Friends of Simba Limeundwaje na Linafanyaje Kazi Ila Kwa Kifupi tu Hili Ni Kundi La Wahuni na Wajanja Wajanja Wa Mjini Wanaoishi Kwa Mgongo Wa Wachezaji wa Simba. Nami Nilijifanya Naungana Nao ila Nilikuwa Nataka tu Nijue Hili Kundi Lipoje Na Nimetoka Na Ripoti Kamili Ya Kuhusiana Na Hili Kundi La Friends of Simba. Narudia Tena TUTU VENGERE Hakika Hakukosea Kutuita Sisi Wana Simba MAMBUMBUMBU. Sioni Mazuri Ya Huyo Mgombea Mchaga Wala Huyu Mwingine tena Poti Wangu ( Ndugu Yangu ) Mkurya Kwani Wote Ni Wale Wale tu ILA Yupo Mgombea Mmoja Ambaye Amechukua Fomu Nadhani Kama Tutataka Kumaliza Makundi Simba Huyu Angetufaa Sana Wana Simba ILA Najua Hawezi Kupita Kwakuwa Hana Pesa, Hahongi Na Siyo Muhuni Wala Mjanja Mjanja Kama Hao Wawili Watajwa Hapo Juu Kwani Upuuzi Wao Wa Kuwagawa Wachezaji ILI Kumharibia Rage Ndiyo Umeifikisha Simba Hapo Ilipo Na Nina Ushahidi Wa Kutosha Wa Kumhusu Huyo Mgombea Wenu Mr. ARV na Huyo Mgombea Umakamu Mr. MACHO KUFIFICHA Zeru Zeru Wa Jinsi Walivyokuwa Wakichochea Wachezaji Wa Simba Wacheze Chini Ya Kiwango ili Kumfanya Rage Aonekane Mbaya Na Walikuwa Wakimtumia Sana Mchezaji MNAFIKI Henry Joseph na Kwa Msiojua Na ktk Hali Ya Kushangaza Golikipa MNAFIKI Juma Kaseja Japo Yupo Yanga Lakini Kila Kukicha Anawasiliana Na Wana Simba Wanafiki Wenzie ILI Rafiki Yake Huyo Mkubwa EA na Mume Mwenzie GN Wachaguliwe Na Nawahakikishieni Kama EV na GN Wakichaguliwa Basi Mjue Juma Kaseja Juma Anarudi Simba Na Tutakoma....................... KAZI Kwenu MAMBUMBUMBU Wenzangu.
Maelezo Yako Mafupi Yaliyojaa Busara Yapo Wapi?????????????
Invisible na mods wengine kile kitufe cha dislike kwa nini hamtaki kukiweka lakini yaaani kupindisha tu hilo dole la like kwenda chini linawashinda au nini tatizo.
naipenda simba lakini sio kiviiile,usifanye personal attacks sio nzuri,kila binadamu ana mapungufu yake ikiwemo wewe! Unapoamua kumjadili mtu,jadili mapungufu yake kiuongozi,ukijadili maisha yake na afya yake haitusaidii hata kidogo,sema watu hawa hawafai kwa sababu ni wezi kwa mfano,wapiga deal,nk tutakuelewa,kama mtu ana ukimwi sisi haituhusu,ukimwi haumzuii mtu kuwa kiongozi bora
Huyu yaonekana yu pamoja wale friends of simba akina khasim Dewji,ni mwizi tu kama wenzake,jembe hapo ni M Wambura pekee.
Wapi Nimeandika Mgombea Urais Simba Ana UKIMWI????? Mkuu Nakuheshimu Sana Na Usinitafute Sawa???? au Wewe Ndiyo Mlengwa Mwenyewe???? TAFADHALI Acha KUNITAFUTA. au Na Wewe Ni Una SHOTI Pia???? Kama Kuwa Na Shoti Ni Dili Mbona Jeshini JWTZ na JKT Ukijulikana Wewe Ni Shoti Hawakuchukui????? Sasa Kati Ya Mimi Na Hizo Taasisi Nyeti Tajwa Hapo Juu Nani Ni Mbaguzi au Mnyanyapi???? Hivi Wewe Una Akili Kweli???? Mbona Huzilaumu Hizo Taasisi???? au Una GENYE na Gentamycine???? FUMBAPU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna wakati alikuwa meneja wa Embassy Hotel pale nyuma ya Posta Mpyamoja ya hotel zilizokuwa za kisasa miaka ya nyuma,ilimfia mkononi mwake.
hizi ndo hoja ninazotaka kuzisikia! Hazina uhusiano na maisha binafsi ya mtu!
Wewe Na Mwenzako hapo Chini Hamna Hoja Na Mmejaa UNAFIKI Mtupu. Mimi Kusema Hayo Kinawauma Mbona Hamuwakatazi Watu Tena Wakubwa tu Na Wazito Wanaompiga Vita Kipenzi Changu Edward Ngoyai Lowassa Kuwa Ana Afya Mbaya Na Hafai Hata Kupewa Nchi Kuiongoza Na Kuwa Rais Wetu Mwakani????? Je Wewe Malinzi Hili Hukuliona??? Na Mbona Hujalikemea? Na Nakumbuka Ulipopata tu Urais Ulikuwa Wa Kwanza Kujipendekeza Kwa Lowassa Sasa Mbona Sikuoni Kukemea Wana CCM Wenzako Tena Wengi Wao Wakiwa Ni Vigogo na Watoto Wa Wakubwa ktk Serikali Kuwa Waache Kufanya Hiyo Character Assasination Kwa Rais Wetu Mteule Wa Tanzania Mwakani Lowassa? Najua Ya Kuwa Una Maslahi Yako Kwa Huyu Unayemtetea Pamoja Na Mshikaji Wako MACHO KUFIFICHA a.k.a ZERU ZERU Mliyenae Cargo. Naamini Wewe Ni Msomi na Kizuri Zaidi Tena Ni Mtani Wangu SIFA MOJA KUBWA YA KUWA KIONGOZI POPOTE PALE DUNIANI NI KUWA NA AFYA NZURI ILI UWEZE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKO KWA UFASAHA Hivyo Kama ktk Siasa Mnampiga Majungu Lowassa Kuwa Ana Afya Mbaya na Hafai Kuwa Rais Wetu Watanzania Basi Na Mimi GENTAMYCINE Nasema Huyo Unayemtetea Kwa Afya Yake Mbovu Narudia Kwa Msisitizo AFYA YAKE MBOVU Hatufai Wana Simba Na Nitalisimamia Hili Hata Kama Atapita. Sina Kundi Lolote Simba ILA Nataka tu Kiongozi Atakayerudisha HADHI na HESHIMA Ya Simba Yetu. Rejea Kampeni Za Uchaguzi Wa Urais Mwaka 2005 Na Hata Mwaka 2010 Lipumba Wa CUF Alizushiwa Nini au Alipingwa Kwa Lipi? Na Mbatia Nae Wadau Walimpinga Kwa Lipi? Mbona Sikuwaona Mkijitokeza Kupinga Kushambuliwa Kwao???? ACHENI UNAFIKI na KUJIFANYA MNAMUONEA Huruma Mbona Hamkumshauri Aache UFUSKA Wake ULIOPELEKEA Kuwa Hivyo Alivyo Sasa???? Na Mmemwona Huyo tu Wakati Yupo Mwenziye Nae ANAGOMBEA UMAKAMU na Yeye Pia Ni SHOTI Kama Yeye ( AMEUNGUA ). Simba Siyo Sehemu Ya Kutafutia Pesa Za KUNUNULIA ARV's Na Kupatia Pesa Za Kwenda Kubadilishia Damu Groote Sckul Hospital South Africa Na Appolo Nchini India. NAKUHESHIMU Sana Kaka Yangu Na Rais Wangu Malinzi ILA Kwa Hili TUTAPISHANA Kidooooooogo...............!!!!!!!!!!!!!!!!!! Vipi Ile Ripoti Ya Kumhusu Frank Domayo Bado Hujaletewa tu????? Mbona Zile Wiki Mbili Ulizozitoa Zimefika?????????? au Umemwongezea Muda????? NILIKUWA Sijui Kama na Wewe Ni Bonge La MNAFIKI Hivi Na Naanza Sasa Kukudharau Japo Nasita Kwakuwa Wewe Ni MTANI Wangu. Nasubiri tu Kwa Hamu Maamuzi Yako ktk Suala La Kiungo Frank Domayo. Usiku Mwema MTANI.
Nakubaliana Na Wewe Kwa Asilimia Zote 100 ILA Kwa UMBUMBUMBU Wetu Nakuapia Aveva na Mwenzie Kaburu Wanapita Mkuu..................... Mkuu Njaa Mbaya Na Ukiwa Hujaelimika Napo Kuna Gharama Zake. TUTU VENGERE Kutuita MAMBUMBUMBU Hakika Hakukosea. Najua Sasa Somoe Ng'itu Sasa Meno Yote 32 Nje Kwani Hawara Yake Mkubwa Anakwenda Kuwa Rais a.k.a Mzee Wa Pointi Tatu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! USHAURI Wangu Tu Wa Kitaalam Na Kitafiti Nawaomba Wana MAMBUMBUMBU Wenzangu Tufanye Balancing ktk Kuchagua. Kama Tukimchagua Aveva basi Makamu Awe Mzee Kinesi au Kama Tukimchagua Wambura basi Makamu Awe Kaburu ili Makundi Yote Yenye Nguvu Yahusishwe Uongozini na Pasiwe na Manung'uniko Na Tuweze Kujenga Umoja na Kutengeneza Timu Yetu Ya Msimu Ujao ILA KWA DALILI NIZIONAZO NINA UHAKIKA Kuwa Mzee Wa Kutumia ARV na Kaburu Wanapita Kwa Nguvu Yao Ya Pesa Za Usamjo samjo na Maisha Yao Ya Kimjini Mjini na Vile Vile Hata TFF Haimtaki Wambura Kwani Ni Threat Kwao na Tusisahau Mdomo Upande au Mdomo Pinda ( Mgombea Wa Umakamu ) Ni Mfanyakazi Wa Kampuni Ya Kaka Mkubwa Wa Rais Wa TFF Je Mnategemea Nini Hapo Wana Simba Wenzangu?
Wapi Nimeandika Mgombea Urais Simba Ana UKIMWI????? Mkuu Nakuheshimu Sana Na Usinitafute Sawa???? au Wewe Ndiyo Mlengwa Mwenyewe???? TAFADHALI Acha KUNITAFUTA. au Na Wewe Ni Una SHOTI Pia???? Kama Kuwa Na Shoti Ni Dili Mbona Jeshini JWTZ na JKT Ukijulikana Wewe Ni Shoti Hawakuchukui????? Sasa Kati Ya Mimi Na Hizo Taasisi Nyeti Tajwa Hapo Juu Nani Ni Mbaguzi au Mnyanyapi???? Hivi Wewe Una Akili Kweli???? Mbona Huzilaumu Hizo Taasisi???? au Una GENYE na Gentamycine???? FUMBAPU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nakubaliana Na Wewe Kwa Asilimia Zote 100 ILA Kwa UMBUMBUMBU Wetu Nakuapia Aveva na Mwenzie Kaburu Wanapita Mkuu..................... Mkuu Njaa Mbaya Na Ukiwa Hujaelimika Napo Kuna Gharama Zake. TUTU VENGERE Kutuita MAMBUMBUMBU Hakika Hakukosea. Najua Sasa Somoe Ng'itu Sasa Meno Yote 32 Nje Kwani Hawara Yake Mkubwa Anakwenda Kuwa Rais a.k.a Mzee Wa Pointi Tatu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! USHAURI Wangu Tu Wa Kitaalam Na Kitafiti Nawaomba Wana MAMBUMBUMBU Wenzangu Tufanye Balancing ktk Kuchagua. Kama Tukimchagua Aveva basi Makamu Awe Mzee Kinesi au Kama Tukimchagua Wambura basi Makamu Awe Kaburu ili Makundi Yote Yenye Nguvu Yahusishwe Uongozini na Pasiwe na Manung'uniko Na Tuweze Kujenga Umoja na Kutengeneza Timu Yetu Ya Msimu Ujao ILA KWA DALILI NIZIONAZO NINA UHAKIKA Kuwa Mzee Wa Kutumia ARV na Kaburu Wanapita Kwa Nguvu Yao Ya Pesa Za Usamjo samjo na Maisha Yao Ya Kimjini Mjini na Vile Vile Hata TFF Haimtaki Wambura Kwani Ni Threat Kwao na Tusisahau Mdomo Upande au Mdomo Pinda ( Mgombea Wa Umakamu ) Ni Mfanyakazi Wa Kampuni Ya Kaka Mkubwa Wa Rais Wa TFF Je Mnategemea Nini Hapo Wana Simba Wenzangu?
Angalia usivyojitambua
mkuu usiniguse mimi nimeamua kumpotezea tu,make nimeona napoteza energy yangu bure kwa mtu wa hovyo kabisa,kasema ni mkurya,pamoja na kwamba mimi pia ni mkurya,sijawahi kuona mkurya pumba hvi,labda mkurya aliyezaliwa keko mwanga.
Kipaji Halisi Ngoja Nimpe au Niwape Vipande Vyao Wale Wote Wanaotaka Kudandia Treni Ya GENTAMYCINE Kwa Mbele Na Nina Ukweli Zaidi Ya Huo Na Mkizidi Kunitibua Nitawaandikieni Hapa WARAKA Wote au MZIMA Wa Kundi Zima La Friends of Simba Limeundwaje na Linafanyaje Kazi Ila Kwa Kifupi tu Hili Ni Kundi La Wahuni na Wajanja Wajanja Wa Mjini Wanaoishi Kwa Mgongo Wa Wachezaji wa Simba. Nami Nilijifanya Naungana Nao ila Nilikuwa Nataka tu Nijue Hili Kundi Lipoje Na Nimetoka Na Ripoti Kamili Ya Kuhusiana Na Hili Kundi La Friends of Simba. Narudia Tena TUTU VENGERE Hakika Hakukosea Kutuita Sisi Wana Simba MAMBUMBUMBU. Sioni Mazuri Ya Huyo Mgombea Mchaga Wala Huyu Mwingine tena Poti Wangu ( Ndugu Yangu ) Mkurya Kwani Wote Ni Wale Wale tu ILA Yupo Mgombea Mmoja Ambaye Amechukua Fomu Nadhani Kama Tutataka Kumaliza Makundi Simba Huyu Angetufaa Sana Wana Simba ILA Najua Hawezi Kupita Kwakuwa Hana Pesa, Hahongi Na Siyo Muhuni Wala Mjanja Mjanja Kama Hao Wawili Watajwa Hapo Juu Kwani Upuuzi Wao Wa Kuwagawa Wachezaji ILI Kumharibia Rage Ndiyo Umeifikisha Simba Hapo Ilipo Na Nina Ushahidi Wa Kutosha Wa Kumhusu Huyo Mgombea Wenu Mr. ARV na Huyo Mgombea Umakamu Mr. MACHO KUFIFICHA Zeru Zeru Wa Jinsi Walivyokuwa Wakichochea Wachezaji Wa Simba Wacheze Chini Ya Kiwango ili Kumfanya Rage Aonekane Mbaya Na Walikuwa Wakimtumia Sana Mchezaji MNAFIKI Henry Joseph na Kwa Msiojua Na ktk Hali Ya Kushangaza Golikipa MNAFIKI Juma Kaseja Japo Yupo Yanga Lakini Kila Kukicha Anawasiliana Na Wana Simba Wanafiki Wenzie ILI Rafiki Yake Huyo Mkubwa EA na Mume Mwenzie GN Wachaguliwe Na Nawahakikishieni Kama EV na GN Wakichaguliwa Basi Mjue Juma Kaseja Juma Anarudi Simba Na Tutakoma....................... KAZI Kwenu MAMBUMBUMBU Wenzangu.
Wewe Na Mwenzako hapo Chini Hamna Hoja Na Mmejaa UNAFIKI Mtupu. Mimi Kusema Hayo Kinawauma Mbona Hamuwakatazi Watu Tena Wakubwa tu Na Wazito Wanaompiga Vita Kipenzi Changu Edward Ngoyai Lowassa Kuwa Ana Afya Mbaya Na Hafai Hata Kupewa Nchi Kuiongoza Na Kuwa Rais Wetu Mwakani????? Je Wewe Malinzi Hili Hukuliona??? Na Mbona Hujalikemea? Na Nakumbuka Ulipopata tu Urais Ulikuwa Wa Kwanza Kujipendekeza Kwa Lowassa Sasa Mbona Sikuoni Kukemea Wana CCM Wenzako Tena Wengi Wao Wakiwa Ni Vigogo na Watoto Wa Wakubwa ktk Serikali Kuwa Waache Kufanya Hiyo Character Assasination Kwa Rais Wetu Mteule Wa Tanzania Mwakani Lowassa? Najua Ya Kuwa Una Maslahi Yako Kwa Huyu Unayemtetea Pamoja Na Mshikaji Wako MACHO KUFIFICHA a.k.a ZERU ZERU Mliyenae Cargo. Naamini Wewe Ni Msomi na Kizuri Zaidi Tena Ni Mtani Wangu SIFA MOJA KUBWA YA KUWA KIONGOZI POPOTE PALE DUNIANI NI KUWA NA AFYA NZURI ILI UWEZE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKO KWA UFASAHA Hivyo Kama ktk Siasa Mnampiga Majungu Lowassa Kuwa Ana Afya Mbaya na Hafai Kuwa Rais Wetu Watanzania Basi Na Mimi GENTAMYCINE Nasema Huyo Unayemtetea Kwa Afya Yake Mbovu Narudia Kwa Msisitizo AFYA YAKE MBOVU Hatufai Wana Simba Na Nitalisimamia Hili Hata Kama Atapita. Sina Kundi Lolote Simba ILA Nataka tu Kiongozi Atakayerudisha HADHI na HESHIMA Ya Simba Yetu. Rejea Kampeni Za Uchaguzi Wa Urais Mwaka 2005 Na Hata Mwaka 2010 Lipumba Wa CUF Alizushiwa Nini au Alipingwa Kwa Lipi? Na Mbatia Nae Wadau Walimpinga Kwa Lipi? Mbona Sikuwaona Mkijitokeza Kupinga Kushambuliwa Kwao???? ACHENI UNAFIKI na KUJIFANYA MNAMUONEA Huruma Mbona Hamkumshauri Aache UFUSKA Wake ULIOPELEKEA Kuwa Hivyo Alivyo Sasa???? Na Mmemwona Huyo tu Wakati Yupo Mwenziye Nae ANAGOMBEA UMAKAMU na Yeye Pia Ni SHOTI Kama Yeye ( AMEUNGUA ). Simba Siyo Sehemu Ya Kutafutia Pesa Za KUNUNULIA ARV's Na Kupatia Pesa Za Kwenda Kubadilishia Damu Groote Sckul Hospital South Africa Na Appolo Nchini India. NAKUHESHIMU Sana Kaka Yangu Na Rais Wangu Malinzi ILA Kwa Hili TUTAPISHANA Kidooooooogo...............!!!!!!!!!!!!!!!!!! Vipi Ile Ripoti Ya Kumhusu Frank Domayo Bado Hujaletewa tu????? Mbona Zile Wiki Mbili Ulizozitoa Zimefika?????????? au Umemwongezea Muda????? NILIKUWA Sijui Kama na Wewe Ni Bonge La MNAFIKI Hivi Na Naanza Sasa Kukudharau Japo Nasita Kwakuwa Wewe Ni MTANI Wangu. Nasubiri tu Kwa Hamu Maamuzi Yako ktk Suala La Kiungo Frank Domayo. Usiku Mwema MTANI.
Duh kumbe alikuwa una mpigia debe lowassaWewe Na Mwenzako hapo Chini Hamna Hoja Na Mmejaa UNAFIKI Mtupu. Mimi Kusema Hayo Kinawauma Mbona Hamuwakatazi Watu Tena Wakubwa tu Na Wazito Wanaompiga Vita Kipenzi Changu Edward Ngoyai Lowassa Kuwa Ana Afya Mbaya Na Hafai Hata Kupewa Nchi Kuiongoza Na Kuwa Rais Wetu Mwakani????? Je Wewe Malinzi Hili Hukuliona??? Na Mbona Hujalikemea? Na Nakumbuka Ulipopata tu Urais Ulikuwa Wa Kwanza Kujipendekeza Kwa Lowassa Sasa Mbona Sikuoni Kukemea Wana CCM Wenzako Tena Wengi Wao Wakiwa Ni Vigogo na Watoto Wa Wakubwa ktk Serikali Kuwa Waache Kufanya Hiyo Character Assasination Kwa Rais Wetu Mteule Wa Tanzania Mwakani Lowassa? Najua Ya Kuwa Una Maslahi Yako Kwa Huyu Unayemtetea Pamoja Na Mshikaji Wako MACHO KUFIFICHA a.k.a ZERU ZERU Mliyenae Cargo. Naamini Wewe Ni Msomi na Kizuri Zaidi Tena Ni Mtani Wangu SIFA MOJA KUBWA YA KUWA KIONGOZI POPOTE PALE DUNIANI NI KUWA NA AFYA NZURI ILI UWEZE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKO KWA UFASAHA Hivyo Kama ktk Siasa Mnampiga Majungu Lowassa Kuwa Ana Afya Mbaya na Hafai Kuwa Rais Wetu Watanzania Basi Na Mimi GENTAMYCINE Nasema Huyo Unayemtetea Kwa Afya Yake Mbovu Narudia Kwa Msisitizo AFYA YAKE MBOVU Hatufai Wana Simba Na Nitalisimamia Hili Hata Kama Atapita. Sina Kundi Lolote Simba ILA Nataka tu Kiongozi Atakayerudisha HADHI na HESHIMA Ya Simba Yetu. Rejea Kampeni Za Uchaguzi Wa Urais Mwaka 2005 Na Hata Mwaka 2010 Lipumba Wa CUF Alizushiwa Nini au Alipingwa Kwa Lipi? Na Mbatia Nae Wadau Walimpinga Kwa Lipi? Mbona Sikuwaona Mkijitokeza Kupinga Kushambuliwa Kwao???? ACHENI UNAFIKI na KUJIFANYA MNAMUONEA Huruma Mbona Hamkumshauri Aache UFUSKA Wake ULIOPELEKEA Kuwa Hivyo Alivyo Sasa???? Na Mmemwona Huyo tu Wakati Yupo Mwenziye Nae ANAGOMBEA UMAKAMU na Yeye Pia Ni SHOTI Kama Yeye ( AMEUNGUA ). Simba Siyo Sehemu Ya Kutafutia Pesa Za KUNUNULIA ARV's Na Kupatia Pesa Za Kwenda Kubadilishia Damu Groote Sckul Hospital South Africa Na Appolo Nchini India. NAKUHESHIMU Sana Kaka Yangu Na Rais Wangu Malinzi ILA Kwa Hili TUTAPISHANA Kidooooooogo...............!!!!!!!!!!!!!!!!!! Vipi Ile Ripoti Ya Kumhusu Frank Domayo Bado Hujaletewa tu????? Mbona Zile Wiki Mbili Ulizozitoa Zimefika?????????? au Umemwongezea Muda????? NILIKUWA Sijui Kama na Wewe Ni Bonge La MNAFIKI Hivi Na Naanza Sasa Kukudharau Japo Nasita Kwakuwa Wewe Ni MTANI Wangu. Nasubiri tu Kwa Hamu Maamuzi Yako ktk Suala La Kiungo Frank Domayo. Usiku Mwema MTANI.