unajua haya maisha yalivyo ukiwa huna kazi na ukawa umepigika lazima ukiambiwa kuna kaz utaenda tu coz unajua mwisho wa siku unapata chochote kitu ajifunze kidogo kidogo atakua expert tu baada ya muda