paco anthony
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 561
- 917
Kiongozi nipo tayari ...nahitaji hiyo connectionNina nafasi ya potter anayejua kuendesha gari ila ninaposema nina maanisha potter kweli,kazi ni ngumu na ni kusambaza mizigo mizito kutwa nzima,namaanisha 12hrs na mshahara ni 80 kati ya mwezi na 180 mwisho wa mwezi.....
Mkuu naomba unitafute ...nahitaji hiyo connectionNina nafasi ya potter anayejua kuendesha gari ila ninaposema nina maanisha potter kweli,kazi ni ngumu na ni kusambaza mizigo mizito kutwa nzima,namaanisha 12hrs na mshahara ni 80 kati ya mwezi na 180 mwisho wa mwezi....
Sawa kiongoziNjoo pm
Utafanikiwa mda si mrefu we subiriHabarini wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale..Mimi ni kijana ninaye chafuta kazi ya udreva ..vyombo ambavyo Nina uzowefu navyo ni pikipiki,gari ndogo...
Nasubili kiongozi,,,subla ibada toshaUtafanikiwa mda si mrefu we subiri
yani umekamatwa mchana kweupe....ebu elezea vizuri tujue jinsi ya kukusaidia...!Daaaah hii nchi ngumu sana...nipo kitembo hapa getting namba 2 ninasubilia ajira za hapa na pale kuhusu udreva malaa paa mapolisi kama wote wanatukamata wanasema sisi ni wazurulaji....nachoka sana
Mchana kabisa ...ilikuwa mida ya saa 5 kwenda saa6yani umekamatwa mchana kweupe....ebu elezea vizuri tujue jinsi ya kukusaidia...!