Mwenye connection ya kazi ya security

Garda huwa wanatoa nafasi kuanzia Mwezi gani Mkuu
Wana ofisi zao za kanda...

Dar, Arusha na Mwanza...

Kama uko kanda ya ziwa nenda Mwanza...

Kama uko kasikazini nenda Arusha...

Mashariki nenda Dar...

Sina taarifa sahihi kuhusu ajira zao kwasasa so ukitaka kujua, nenda ofisini kwao watakupa majibu mkuu...
 
Basi watakuwa wameanza kulipa vizuri hivi karibuni ,nakumbuka kuna jamaa alikuwa G4S alikuwa anakula elfu 70 na alikuwa anaiba vifaa anavyolinda anaenda kuuza maana hela haimtoshi ,yaani alikuwa omba omba alikuwa mida ya kutoka lazima akae getini kukuinulia chuma unampoza na "Foronya aka Khaki" (Buku 5).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…