Guuuuuuuud n bravo,tz ya sasa inapobidi fanya yako aijulishi unafanya nini kikubwa ni halali.
umeamua naamini huu mtu sahihi,sina chombo tu ningekupa,pamoja na yote ikitokea ukapata ogopa ombwe la kibiashara lililopo sasa hasa ktk bajaj business,ni nn io nataka sema ukpata tajiri mwenye chombo tayari vema endelea nae kikazi lkn ikitokea tajiri anataka nunua ndiyo akupatie muongoze ukanunue Bajaj RE 205,nyerere road ni zaidi ya manufaa kwa biashara asa kibongobongo,tvs ni fitna za kibiashara ndio zimewaweka ktk raman lkn ubora si kama re 205,ipo vema zaidi.
ni kams sasa bajaj boxer bm 150 ilivotaka hujumiwa na serikali kupitia jeshi la police,kitu bora ni bora tu.
kila la kheri,pia kwa taadhari ni pm namba ako akitokea tajiri naeza kukuunganisha nae.
Mtoa mada hayupo hapa kuhitaji mbwembwe na ujuaji, bali anataka ajira, huna chapa mwendo acha kuleta mbwembwe zako.maelezo yako mazuri sana...RE TWO STROKE ama RE FOUR STROKE zote zilikuwa zinachangamoto,lakini kimisingi two stroke ni bomba mbaya kwa uimara na kikazi changamoto yake ilikuwa ni moja tu baada ya kutoka TVS four stroke,yani ilionekana out of fashion kwanza kwa tenda tu lakuchanganya petrol and oil ni kind of ya usumbufu wakati mm nahtaj niweke kiwese tu nisevu time niendelee na mishe,lakin nenda rudi kwa uimara hakuna TVS inaoeza kamata,ndio baadae bajaj kukopu na soko nao wakatoa four stroke but ikawa inachangamoto ktk engine,but RE 205 ninayokuambia four now inakama miezi mbili,nazifaham coz ni zote vitu nilivyopitia kwa matumiz na ni xpert wa izo kitu kwa ao wote wawil...TVS ni nguvu ya kimasoko kujipanga vizuri na mkakati bora ndio mana wameshinda...
Short and Clear: siku hizi mimi ni dreva bajaj. Ila sina bajaj(deiwaka). Ombi: mwenye chombo halafu hana dreva naomba anipe hyo chance. Nipo Dar mbezi ya Kimara.
Sifa zangu: nina uzoefu wa kama mwaka mzima sasa,nina leseni ya udreva A,B,D & E. So hata kwa gari niko vizuri pia. Aliye tayari tuwasiliane kwa ajili ya kupeana hzo riziki. Ni Ombi tu! Thanks!
Guuuuuuuud n bravo,tz ya
sasa inapobidi fanya yako aijulishi unafanya nini kikubwa ni halali.
umeamua naamini huu mtu sahihi,sina chombo tu ningekupa,pamoja na yote
ikitokea ukapata ogopa ombwe la kibiashara lililopo sasa hasa ktk bajaj
business,ni nn io nataka sema ukpata tajiri mwenye chombo tayari vema
endelea nae kikazi lkn ikitokea tajiri anataka nunua ndiyo akupatie
muongoze ukanunue Bajaj RE 205,nyerere road ni zaidi ya manufaa kwa
biashara asa kibongobongo,tvs ni fitna za kibiashara ndio zimewaweka ktk
raman lkn ubora si kama re 205,ipo vema zaidi.
ni kams sasa bajaj boxer bm 150 ilivotaka hujumiwa na serikali kupitia
jeshi la police,kitu bora ni bora tu.
kila la kheri,pia kwa taadhari ni pm namba ako akitokea tajiri naeza
kukuunganisha nae.
Bwana JERYSON, naiona fursa hapo...sasa nikinunua Bajaj mpya na kukukabidhi;
1. Utaniletea mauzo ya kiasi gani kwa-wiki sasa kulingana na soko bila kufuatiliana kila wakati
2. Nitawezaje kukuamnini kuwa hutatokomea nayo na uamainifu wa kuniwakilishia kipato na utunzaji kwa ujumla
3. Nawezaje kujiridhisha ukaazi wako? Unaweza kuwa na recommendation ya boss wa zamani??
Shukrani.
rafiki ni tsh ngap sasa hyo bajaji uliopendekeza?,mi ni mgeni biasharani nipe initial costs za hii biashara ya Bajaji
Boxer BM 100 ni 1,900,00/-TZS bei ya rejareja na kwa jumla ni 1,750,000/-TZSMkuu miamia ahsante sana kwa tathmini yako iliyotulia,vipi kuhusu pikipiki aina ya boxer inauzwaje?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Short and Clear: siku hizi mimi ni dreva bajaj. Ila sina bajaj(deiwaka). Ombi: mwenye chombo halafu hana dreva naomba anipe hyo chance. Nipo Dar mbezi ya Kimara.
Sifa zangu: nina uzoefu wa kama mwaka mzima sasa,nina leseni ya udreva A,B,D & E. So hata kwa gari niko vizuri pia. Aliye tayari tuwasiliane kwa ajili ya kupeana hzo riziki. Ni Ombi tu! Thanks!
Boxer BM 100 ni 1,900,00/-TZS bei ya rejareja na kwa jumla ni 1,750,000/-TZS
Boxer BM 150 ni 2,100,000/-TZS bei ya rejareja na kwa jumla ni 1,920,000/-TZS
Samahan kwa kuchelewa kujibu mkuu majukum yanabana kidogo...
maelezo yako mazuri sana...RE TWO STROKE ama RE FOUR STROKE zote zilikuwa zinachangamoto,lakini kimisingi two stroke ni bomba mbaya kwa uimara na kikazi changamoto yake ilikuwa ni moja tu baada ya kutoka TVS four stroke,yani ilionekana out of fashion kwanza kwa tenda tu lakuchanganya petrol and oil ni kind of ya usumbufu wakati mm nahtaj niweke kiwese tu nisevu time niendelee na mishe,lakin nenda rudi kwa uimara hakuna TVS inaoeza kamata,ndio baadae bajaj kukopu na soko nao wakatoa four stroke but ikawa inachangamoto ktk engine,but RE 205 ninayokuambia four now inakama miezi mbili,nazifaham coz ni zote vitu nilivyopitia kwa matumiz na ni xpert wa izo kitu kwa ao wote wawil...TVS ni nguvu ya kimasoko kujipanga vizuri na mkakati bora ndio mana wameshinda...