Mwenye Chombo cha Bajaji TAFADHALI!

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Short and Clear: siku hizi mimi ni dreva bajaj. Ila sina bajaj(deiwaka). Ombi: mwenye chombo halafu hana dreva naomba anipe hyo chance. Nipo Dar mbezi ya Kimara.
Sifa zangu: nina uzoefu wa kama mwaka mzima sasa,nina leseni ya udreva A,B,D & E. So hata kwa gari niko vizuri pia. Aliye tayari tuwasiliane kwa ajili ya kupeana hzo riziki. Ni Ombi tu! Thanks!
 
Guuuuuuuud n bravo,tz ya sasa inapobidi fanya yako aijulishi unafanya nini kikubwa ni halali.

umeamua naamini huu mtu sahihi,sina chombo tu ningekupa,pamoja na yote ikitokea ukapata ogopa ombwe la kibiashara lililopo sasa hasa ktk bajaj business,ni nn io nataka sema ukpata tajiri mwenye chombo tayari vema endelea nae kikazi lkn ikitokea tajiri anataka nunua ndiyo akupatie muongoze ukanunue Bajaj RE 205,nyerere road ni zaidi ya manufaa kwa biashara asa kibongobongo,tvs ni fitna za kibiashara ndio zimewaweka ktk raman lkn ubora si kama re 205,ipo vema zaidi.

ni kams sasa bajaj boxer bm 150 ilivotaka hujumiwa na serikali kupitia jeshi la police,kitu bora ni bora tu.

kila la kheri,pia kwa taadhari ni pm namba ako akitokea tajiri naeza kukuunganisha nae.
 
Thanks ndugu.. Lakini mbona kama TVS KING ndo zina soko na kupendwa sana kuliko RE two Stroke au Four Stroke!! Hii imekaaje... Ofcourse nimeendesha bajaj aina zote isipokuwa PIAGIO APE CITY lakini TVS KING Inaonekana safi tu,inavumilia barabara mbovu!
 
maelezo yako mazuri sana...RE TWO STROKE ama RE FOUR STROKE zote zilikuwa zinachangamoto,lakini kimisingi two stroke ni bomba mbaya kwa uimara na kikazi changamoto yake ilikuwa ni moja tu baada ya kutoka TVS four stroke,yani ilionekana out of fashion kwanza kwa tenda tu lakuchanganya petrol and oil ni kind of ya usumbufu wakati mm nahtaj niweke kiwese tu nisevu time niendelee na mishe,lakin nenda rudi kwa uimara hakuna TVS inaoeza kamata,ndio baadae bajaj kukopu na soko nao wakatoa four stroke but ikawa inachangamoto ktk engine,but RE 205 ninayokuambia four now inakama miezi mbili,nazifaham coz ni zote vitu nilivyopitia kwa matumiz na ni xpert wa izo kitu kwa ao wote wawil...TVS ni nguvu ya kimasoko kujipanga vizuri na mkakati bora ndio mana wameshinda...
 
Mtoa mada hayupo hapa kuhitaji mbwembwe na ujuaji, bali anataka ajira, huna chapa mwendo acha kuleta mbwembwe zako.
 
Short and Clear: siku hizi mimi ni dreva bajaj. Ila sina bajaj(deiwaka). Ombi: mwenye chombo halafu hana dreva naomba anipe hyo chance. Nipo Dar mbezi ya Kimara.
Sifa zangu: nina uzoefu wa kama mwaka mzima sasa,nina leseni ya udreva A,B,D & E. So hata kwa gari niko vizuri pia. Aliye tayari tuwasiliane kwa ajili ya kupeana hzo riziki. Ni Ombi tu! Thanks!

Bwana JERYSON, naiona fursa hapo...sasa nikinunua Bajaj mpya na kukukabidhi;

1. Utaniletea mauzo ya kiasi gani kwa-wiki sasa kulingana na soko bila kufuatiliana kila wakati
2. Nitawezaje kukuamnini kuwa hutatokomea nayo na uamainifu wa kuniwakilishia kipato na utunzaji kwa ujumla
3. Nawezaje kujiridhisha ukaazi wako? Unaweza kuwa na recommendation ya boss wa zamani??

Shukrani.
 
Last edited by a moderator:
Guuuuuuuud n bravo,tz ya
sasa inapobidi fanya yako aijulishi unafanya nini kikubwa ni halali.

umeamua naamini huu mtu sahihi,sina chombo tu ningekupa,pamoja na yote
ikitokea ukapata ogopa ombwe la kibiashara lililopo sasa hasa ktk bajaj
business,ni nn io nataka sema ukpata tajiri mwenye chombo tayari vema
endelea nae kikazi lkn ikitokea tajiri anataka nunua ndiyo akupatie
muongoze ukanunue Bajaj RE 205,nyerere road ni zaidi ya manufaa kwa
biashara asa kibongobongo,tvs ni fitna za kibiashara ndio zimewaweka ktk
raman lkn ubora si kama re 205,ipo vema zaidi.

ni kams sasa bajaj boxer bm 150 ilivotaka hujumiwa na serikali kupitia
jeshi la police,kitu bora ni bora tu.

kila la kheri,pia kwa taadhari ni pm namba ako akitokea tajiri naeza
kukuunganisha nae.

rafiki ni tsh ngap sasa hyo bajaji uliopendekeza?,mi ni mgeni biasharani nipe initial costs za hii biashara ya Bajaji
 
Bwana JERYSON, naiona fursa hapo...sasa nikinunua Bajaj mpya na kukukabidhi;

1. Utaniletea mauzo ya kiasi gani kwa-wiki sasa kulingana na soko bila kufuatiliana kila wakati
2. Nitawezaje kukuamnini kuwa hutatokomea nayo na uamainifu wa kuniwakilishia kipato na utunzaji kwa ujumla
3. Nawezaje kujiridhisha ukaazi wako? Unaweza kuwa na recommendation ya boss wa zamani??

Shukrani.

Asante mkuu! Hapa nadhani ni suala la kuonana na kupanga mikakati.. Kwanza nina uhakika wa kukuletea elfu 12 mpaka 15 kwa siku. Ina maana 12,000 times 7 days=84,000. Na 15000 times 7 days=105,000. Hapo itategemea na boss unatakaje ili chombo kitunzwe vizuri. Anayekutafutia elfu 12 atakuwa tofaut kidogo na wa 15 elfu kwa uendeshaji. Lakini yote yanawezekana na kwa ufanisi. Kuhusu kuaminiana... Naweza kusema kwanza nakuleta ninapoishi,tunaenda s/mtaa kwa mjumbe kwa ajili ya uthibitisho. Ikiwezekana kwa maandishi. Halafu kadiri siku zinavyokwenda nadhani utanielewa kuwa kweli nina uhitaji. For more Info naku Pm no.
 
Last edited by a moderator:
rafiki ni tsh ngap sasa hyo bajaji uliopendekeza?,mi ni mgeni biasharani nipe initial costs za hii biashara ya Bajaji

Ndugu,bajaj zote hakuna iliyo chini ya million 5. Bei yake ni kuanzi 5m mpaka 5.6m
 
rafiki ni tsh ngap sasa hyo bajaji uliopendekeza?,mi ni mgeni biasharani nipe initial costs za hii biashara ya Bajaji

kaka maneno ya pemben usifate kama kweli huu muhitaji na umeamua ww fata yale unayotaka,hizi zangu zilikuwa angalizo si mbwembwe,mm ni mtathmin ninae angalia palipo bora,na hakuna jambo utakalo fanya na kufanikiwa bila upembuzi yaknifu na wa kina asa uyo ndugu nisietaka mrudia tena msoma sina muda nae,kaa mbali sana na watu wenye pupa io,usikonde labda kisipatkane chombo will let u kno pa 100 paseee.
ni 5.6M...U CAN PM ME FOR MORE CLARIFICATION AND I WILL GIVE THE # OF DADAZ AMBAE ATAKUSEVU VEMA KAMA UKIHITAJI,NI UWEKEZAJI SAHIHI.
 
Mkuu miamia ahsante sana kwa tathmini yako iliyotulia,vipi kuhusu pikipiki aina ya boxer inauzwaje?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu miamia ahsante sana kwa tathmini yako iliyotulia,vipi kuhusu pikipiki aina ya boxer inauzwaje?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Boxer BM 100 ni 1,900,00/-TZS bei ya rejareja na kwa jumla ni 1,750,000/-TZS
Boxer BM 150 ni 2,100,000/-TZS bei ya rejareja na kwa jumla ni 1,920,000/-TZS

Samahan kwa kuchelewa kujibu mkuu majukum yanabana kidogo...
 
Short and Clear: siku hizi mimi ni dreva bajaj. Ila sina bajaj(deiwaka). Ombi: mwenye chombo halafu hana dreva naomba anipe hyo chance. Nipo Dar mbezi ya Kimara.
Sifa zangu: nina uzoefu wa kama mwaka mzima sasa,nina leseni ya udreva A,B,D & E. So hata kwa gari niko vizuri pia. Aliye tayari tuwasiliane kwa ajili ya kupeana hzo riziki. Ni Ombi tu! Thanks!

kaka kama bado hujapata bajaji NIPM namba yako, nina bajaji na sina dereva
 
Boxer BM 100 ni 1,900,00/-TZS bei ya rejareja na kwa jumla ni 1,750,000/-TZS
Boxer BM 150 ni 2,100,000/-TZS bei ya rejareja na kwa jumla ni 1,920,000/-TZS

Samahan kwa kuchelewa kujibu mkuu majukum yanabana kidogo...

Bila samahani nashukuru kiongozi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
maelezo yako mazuri sana...RE TWO STROKE ama RE FOUR STROKE zote zilikuwa zinachangamoto,lakini kimisingi two stroke ni bomba mbaya kwa uimara na kikazi changamoto yake ilikuwa ni moja tu baada ya kutoka TVS four stroke,yani ilionekana out of fashion kwanza kwa tenda tu lakuchanganya petrol and oil ni kind of ya usumbufu wakati mm nahtaj niweke kiwese tu nisevu time niendelee na mishe,lakin nenda rudi kwa uimara hakuna TVS inaoeza kamata,ndio baadae bajaj kukopu na soko nao wakatoa four stroke but ikawa inachangamoto ktk engine,but RE 205 ninayokuambia four now inakama miezi mbili,nazifaham coz ni zote vitu nilivyopitia kwa matumiz na ni xpert wa izo kitu kwa ao wote wawil...TVS ni nguvu ya kimasoko kujipanga vizuri na mkakati bora ndio mana wameshinda...

mkuu hiyo changamoto ya engine kwa upande wa re 4 205 ni nini?
 
jamn na me naweza kuendesha bajaji ata pikipiki ninauzoefu wa mda kwani nilianza kupiga boda nikapata hela nikaenda kusoma chip now nimemaliza jamn nimetafuta ajira nimekosa naona bora nirud barabarani Niko dar nikijana mwaminifu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom