DDR2 pia zinatofautiana speed, so ni vyema ukasema unataka speed gani kama ni 4200,5300 etc .. kujua speed angalia kwenye sticker ya RAM uliyonayo. ili usiuziwe mbuzi kwenye gunia

Asante sana mkuu kwa kunitoa gizani. Ngojea nikaangalie kwanza. Btw, pc yangu ina slot 2 tu za ram. Vp nikiweka 2 zenye speed tofauti. Je zikiwa na size tofauti?

kama PC yako inatumia RAM yenye speed e.g 5300 basi itakubali hata speed za chini e.g 4200. lakini kama inatumia RAM ya speed ndogo e.g 4200 basi ni lazima uweke hiyo hiyo , kwani haitakubali RAM ya speed ya juu kama vile 5300