Mwenge wa uhuru wapata ajali Dodoma

Mwenge wa uhuru wapata ajali Dodoma

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,768
Reaction score
8,037
magari
5 ya mwenge yamepata ajali na wakimbiza mwenge 9 wamejeruhiwa akiwemo
mkimbiza mwenge kitaifa nd.Simai wakati msafara ukielekea wilaya ya
Mpwapwa.tunawapa pole na tunaomba wapone haraka ili waendelee na shughuli ya ujenzi wa taifa.source.habari tbc.one.
 
magari
5 ya mwenge yamepata ajari na wakimbiza mwenge 9 wamejuruhiwa akiwemo
mkimbiza mwenge kitaifa nd.Simai wakati msafara ukielekea wilaya ya
Mpwapwa.tunawapa pole na tunaomba wapone haraka ili waendelee na shughuli ya ujenzi wa taifa.source.habari tbc.one.

Warudi makwao wakafanye kazi sio kuendelea kuzurula tu huku wakisaga pesa za walipa kodi bure kwa kundeleza siasa mfilisi.
Kwakweli siwapi pole kwani hii ni ajari ya kutafuta wenyewe kwa uzurulaji wao.
 
Hahahaha yan hii post imeniacha hoi mbaya
 
sioni faida ya mwenge.unazidisha ukimwi,unatumia gharama kubwa sana,unapoteza muda wa kufanya kazi.
 
Hata shule na mambo mengine ya kijamii yanasababisha ukimwi pia. Kimsingi jitahidi uelewe WHY MWENGE. Mwl aliutumia Mwenge kwa mambo mengi sana na maana ileile bado ipo. Try to learn utajua vizuri tu. Kujamiiana ktk matukio haya ni sawa tu na kwenye ngoma za asili
 
Bora walivyopata hiyo ajali...

Nasikia kwenye ile ajali alikuwemo ndugu yako wa karibu kwani kulingana na majukumu yake ya kila siku naye alilazimika kuwemo. Vp bora naye alivyopata ajali??
 
magari
5 ya mwenge yamepata ajali na wakimbiza mwenge 9 wamejeruhiwa akiwemo
mkimbiza mwenge kitaifa nd.Simai wakati msafara ukielekea wilaya ya
Mpwapwa.tunawapa pole na tunaomba wapone haraka ili waendelee na shughuli ya ujenzi wa taifa.source.habari tbc.one.

hii kitu inaitwa Mbio za Mwingi ni upuuzi mwingine kwasababu mazingira ya sasa ya vyama vingi hatuhitaji kuwa na mbio za mwenge. kwanza ni ufujaji wa pesa za wananchi, pili in kama mradi fulani ambao watu wachache wanaingiza michongo yao na kupiga hela. kwakweli ni bora hata huo mwenge ungeungua wote na hao wanaokimbiza. uzurulaji tuuuuuuu
 
Hata shule na mambo mengine ya kijamii yanasababisha ukimwi pia. Kimsingi jitahidi uelewe WHY MWENGE. Mwl aliutumia Mwenge kwa mambo mengi sana na maana ileile bado ipo. Try to learn utajua vizuri tu. Kujamiiana ktk matukio haya ni sawa tu na kwenye ngoma za asili
enzi za mwalimu tofauti na sasa.kila kitu kina wakati wake
 
Acha wafe kwa upuuzi wao. Hizi sio nyakati za kukimbiza mwenge.
 
Nasikia kwenye ile ajali alikuwemo ndugu yako wa karibu kwani kulingana na majukumu yake ya kila siku naye alilazimika kuwemo. Vp bora naye alivyopata ajali??
Bora ni bora tu hainaga walakini.asavali walovipata azyali.
 
ya mungu poa , ila na kujitakia nayo, hawautumii mwenge kama kulitangaza taifa wanautumia mwenge wapate pesa, na serikali ijaribu mwaka mmoja iseme haitengi pesa kwa ajili ya mwenge ione kama itapata mtu !!
 
Back
Top Bottom