Mwenge wa Uhuru wafika ILALA kufungua Miradi ya Billion 14.8, Mkuu wa wilaya anena

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Leo mwenge wa Uhuru umefika katika wilaya ya ilala na kupokelewa na mkuu wa wilaya ya ILaLa, Sophia huku akisema, Mwenge wa Uhuru utazindua Miradi mbalimbali yenye thamani ya Billion 14.8 ambayo itasaidia vijana na watoto pamoja na wazee
 
Leo mwenge wa Uhuru umefika katika wilaya ya ilala na kupokelewa na mkuu wa mkoa Sophia huku akisema, Mwenge wa Uhuru utazindua Miradi mbalimbali yenye thamani ya Billion 14.8 ambayo itasaidia vijana na watoto pamoja na wazee

Kwani bila kuwapo mwenge wa uhuru hiyo miradi haitakuwa inafunguliwa? Au ndo inaleta hiyo miradi??

Kwa mnaojua naomba ufafanuzi maana binafsi yangu sioni haja ya kuwepo mbio za mwenge.
 
Hivi bila mwenge uzinduzi wa miradi hainogi? Ni vema tukazindua hivi hivi ili kubana matumizi
 
Leo mwenge wa Uhuru umefika katika wilaya ya ilala na kupokelewa na mkuu wa mkoa Sophia huku akisema, Mwenge wa Uhuru utazindua Miradi mbalimbali yenye thamani ya Billion 14.8 ambayo itasaidia vijana na watoto pamoja na wazee

Utafiti unaonyesha kwamba hakuna mradi wowote uliozinduliwa na Mwenge wa Uhuru uliodumu hata kwa miezi 6 .
 
Hivi bila mwenge uzinduzi wa miradi hainogi? Ni vema tukazindua hivi hivi ili kubana matumizi
Mwenge wa uhuru ni kama catalyst...unachochea viongozi kuhamasisha miradi, kuitembelea tangu inaanza hadi mwisho ili kuhakikisha Mwenge unapofika unazindua mradi gani, wa thamani gani, na umuhimu wake..
 
Hiyo miradi ni gas ambayo hatuwezi tukaoneshwa? Thamani hii ya pesa bila kutuonesha miradi yenyewe si sahihi, mbona 20bn za UDSM tulioneshwa kwanini na hii miradi tusioneshwe?
 
gwajima kasema hadharani tunarogwa na mwenge. Mbona sherehe za uhuru wa Tanganyika hufanyika siku moja kwenye uwanja mmoja tu? Huu mwenge nao ukimbizwe siku ya sherehe za uhuru hapo uwanjani.
 
Utafiti hupingwa na utafiti mwingine , mbishi yeyote anayenitilia mashaka anionyeshe mradi wowote uliozinduliwa na mbio za mwenge na upo hadi leo .
njoo soku kuu la Songea, njoo chanzo cha maji cha matogoro, njoo zahanati ya mji mwema...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom