Mbowe, siyo Mboe mwishowe utakosea uandike matusiMboe hajui historia
Wananchi wameupuuza.Mwezi uliopita nilishuhudia Mwenge unakimbizwa katika mkoa wa Kigoma. Ajabu niliyoiona ni mwenge kutembea na wasanii wa Bongo!
Zamani mwenge ulijitangaza wenyewe kwa kiwa ulionekana wenye maana kwa kile ulichokisimamia. Leo wanaokwenda kwenye mwenge ni watoto wa shule za msingi! Ili kuwe na mvuto, serikali inaendelea kuteketeza fedha kwa kusafirisha wasanii japo waweze kuzitia mbio za mwenge hamasa!
Mahali mwenge unapolala kunabadilika kuwa Sodoma na Gomora. Hivi kwa nini mwenge unaenda kufundisha uzinzi? Kondomu zinagawiwa kwa mabox, je serikali inahamashisha uzinzi?
Zamani kulikuwa na Azam burudani kwa Wote ?Mwezi uliopita nilishuhudia Mwenge unakimbizwa katika mkoa wa Kigoma. Ajabu niliyoiona ni mwenge kutembea na wasanii wa Bongo!
Zamani mwenge ulijitangaza wenyewe kwa kiwa ulionekana wenye maana kwa kile ulichokisimamia. Leo wanaokwenda kwenye mwenge ni watoto wa shule za msingi! Ili kuwe na mvuto, serikali inaendelea kuteketeza fedha kwa kusafirisha wasanii japo waweze kuzitia mbio za mwenge hamasa!
Mahali mwenge unapolala kunabadilika kuwa Sodoma na Gomora. Hivi kwa nini mwenge unaenda kufundisha uzinzi? Kondomu zinagawiwa kwa mabox, je serikali inahamashisha uzinzi?
Mboe ndio nani we ngumbaru?Mboe hajui historia
Nami pia nasisitiza kuwa Mboe hajui kbs historia overMbowe, siyo Mboe mwishowe utakosea uandike matusi