The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,334
- 3,567
Siku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??
Uliuliza bar ni ya nani? Kama ni mradi wa serikali ya mtaa au kijiji wenye lengo la kukusanya mapato hakuna maajabu ni sahihi!!Siku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??
Mkuu.. Ulipata Nafasi Ya Kwenda Kushuhudia/Kujiridhisha Ulichoambiwa Au Uliridhika Na Hearsay..Siku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??
Taarifa yako haina ukweli, tarehe 12 Julai 2018, MWENGE uliamkia MBAGALA Zackeem ambako ulikesha pia asubuhi hiyohiyo MWENGE ulikabidhiwa kwa uongozi WA mkoa WA Pwani eneo LA Kongowe mpakani Temeke na Mkuranga. Mkianza kudanganya ujaribu kuwa makini katika kuweka kumbukumbuSiku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??
Siyo kweli,ni poroja tu hiyo.Siku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??
Siku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??