Tulipata shida Matajiri kipindi cha Magufuli now days na nyinyi masikiniYaani unataka Rais aende fire kuangalia shida za wananchi??
Unatania mkuu.
Rais wetu yeye trip zake ni Marekani, France , UK Kwa ndugu huko Oman na kwingine ila sio hapo fire mnakojambierana shida zenu.
Ili kiongozi aonekane anafanya kazi ni lazima awape matatizo ili siku akitatua mmpigie makofiKiukweli viongozi wengi wa Tanzania wanatesa sana raia wa nchi hii masikini.
Watanzania tumekosa ustaarabu na wenye kampuni nao wamekosa welediHayo magari watu wanajazana mlangoni ndani kweupe sana ingekuwa wanagunguwa mlango mmoja watu wanaingia kwa mstari miwili uku na uku then kati kati, ila utaratibu mbovu na watu hawaendi bila kusimamiwa
Abiria wa Kimara wanaotokea kivukoni na gerezani ni wengi na wanajaa sana, nafuu iko wanaojiongeza kuenda kupandia Morocco. Abiria wanaofaidi Mwendekosi ni KinondoniLengo kuu la mwendokasi ni kubeba abiria wengi. Unayaona hayo mabasi yamejaa ila watu wengi hujaa milangoni.
Mwananchi ana haki ya kupata huduma bora kwa bei nafuu, sio bora hudumaNunua hata pikipiki kama gari lako mwenyewe inakushinda. Watu wanashindwa kupumua kuna aliyekufa kwa kukosa pumzi, mara wamebanwa kama mojusi wametoa macho je kuna aliyepatwa na majeruhi muda huu yuko hapo muhimbili.
Malalamiko mengine hayana maana. Acha watu watafute pesa bhana. Kelele zingine kausha. Kuna uber na bolt ulishindwaje kujiopngeza
Fyuu
Kwamba waajiriwe na MAKONDAKTA ili wawapange watu? Maana abiria bongo walishazoea kupangwa na makondakta.Hayo magari watu wanajazana mlangoni ndani kweupe sana ingekuwa wanagunguwa mlango mmoja watu wanaingia kwa mstari miwili uku na uku then kati kati, ila utaratibu mbovu na watu hawaendi bila kusimamiwa