Mwendokasi pesa wanapeleka wapi?

Mwendokasi pesa wanapeleka wapi?

Kampuni inafanya kazi bila ushindani na ni Mali ya Umma ndio maana unaona wanafanya watakavyo hiyo Kampuni ingekua ya mtu binafsi mwenye njaa hizo shida zote za abiria ungezisikia tu watu wametengewa bara bara yao hakuna kuingiliana na magari mengine lakini utaambiwa wanapata hasara na watu wa hiace wao wanapata faida...
 
Miradi kama hiyo ndio iliyopaswa kutafuta muwekezaji mwenye uwezo na au ndio wangempa huyo DPWorld!
 
Back
Top Bottom