Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,551
- 6,518
Kuweni serious bac utoto wa facebook mnauleta humuWa 10
Kuweni serious bac utoto wa facebook ndio mnauleta humuWa 12
Tatizo miradi ya Serikali huwa haitabirikiKuweni serious bac utoto wa facebook ndio mnauleta humu
AiseeeTatizo miradi ya serikali huwa haitabiriki
Kukamilika Mbagala ni mpaka mwakani mwezi wa 10, si unajuwa nchi yetu haina ufuatiliaji, watu wako bize huko Dodoma wakiwaza uchaguzi wa 2025.Kwa wakazi wa Mbagala au wanaojua zaidi kuhusu kukamilika mpaka kuzinduliwa kwa mwendokasi ya Mbagala naomba anijuze.
Coz kuna biashara nlitaka nijaribu kuibuni kwa huko mbagala ila inategemea zaidi kukamilika kwa mwendokasi.
Kuna wakati nliskia mwezi wa nne itakuwa tayari saiz nliskia et ni mwezi wa sita nikajaribu kuongea na mkazi mmoja wa huko yeye akaniambia kwa anavyoona mpaka kukamilika kwa mwendo kasi inaweza kuwa mwezi wa 8 sasa sijajua mwenye info zaidi kuhusu kuanza kazi kwa mwendokasi ya mbagala naomba anijuze.
Natanguliza shukrani.
DART wanauzi wao humu nao ni member watafute kwenye special thread juu utapata majibu kutoka kwao moja kwa mojaKwa wakazi wa Mbagala au wanaojua zaidi kuhusu kukamilika mpaka kuzinduliwa kwa mwendokasi ya Mbagala naomba anijuze.