Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,637 Reaction score 220,409 Nov 23, 2017 #21 souljah meditater said: Tatizo wamefanya ni biashara na sio huduma ndo maana hawajali abiria kujazana au magari kutolewa machache kuliko wingi wa abiria hususani kwa mida ya jioni na asubuhi Click to expand... Kibaya zaidi ni kuzuia daladala kuhudumia sasa chini hatupo juu hatupo ila cha moto tunakiona
souljah meditater said: Tatizo wamefanya ni biashara na sio huduma ndo maana hawajali abiria kujazana au magari kutolewa machache kuliko wingi wa abiria hususani kwa mida ya jioni na asubuhi Click to expand... Kibaya zaidi ni kuzuia daladala kuhudumia sasa chini hatupo juu hatupo ila cha moto tunakiona