Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,483
20,430


Haya sasa Sugu kajibu mapigo
Screenshot_20170920-162310.png
Screenshot_20170920-162257.png
 
Bonge moja la mistake, kila mtu anajua yule mwanamke ni fyatu, then unatumia muda wako kumjibu fyatu, mwisho wa siku atakuchamba wewe hadi ukoo wenu wote. Kati ya wanaume waliokosea kuwa na mahusiano na wanawake wasiofaa ni pamoja na Mheshimiwa na Platnum kwa Mobeto, mwanamke anayeweza kuweka mambo yenu ya faragha kwenye social media huyo ni fyatu kuliko mafyatu wote duniani.
 
Kati ya kosa kubwa alilolifanya sungu maishani, ni kutembea au hata kulala na yule mwanamke, nahisi atakuwa amepata hadi mkosi. hivi hakuona wanawake wengine? huko mbeya hakuna wanawake hadi ukachukue mtu anayesingiziwa hadi kujiuza china na hapa bongo?
 
Wanaume waliozaa huku na kule naona wameamua sasa.. pesa pesa pesaaaaaa

Mwisho wa siku mjuage kutumia mipira nyie wengine msio na uhakika na wanawake zenu.. sio kupiga makelele yenu mitandaoni kutafuta huruma.. huku vichwa vyenu viliamua kuwa kulala bila mipira kuna nafasi kubwa sana ya kuishia kulea.

Nasubiri aturushie na pesa ya kila mwezi anatoa kiasi gani.. naona hapo hajamaliza bado.. si ndio wengi mmemshabikia mwenzenu jana au!?
 
Back
Top Bottom