kailakarama
Member
- Aug 30, 2014
- 73
- 30
ACT-Tanzania Taifa Kwanza. Wazalendo kesho saa nane mchana kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika katika Viwanja vya mwembeyanga Temeke.
Tujitokeze kwa wingi kumsikikiza Mwenyekiti Taifa wa ACT-Tanzania Kidawi Limbu.
Tujitokeze kwa wingi kumsikikiza Mwenyekiti Taifa wa ACT-Tanzania Kidawi Limbu.