Naomba tujadili kidogo kuhusu suala la mwelekeo wa Serikali yetu kwa sasa juu ya kushughulika na kero za wananchi.
Je, ni kweli Serikali ya chama Cha Mapinduzi wameshindwa kuongoza nchi?
Je, CHADEMA wana sera nzuri zitazoweza kutuvusha na kusafisha pale CCM waliposhindwa?
Tuanze na maswali hayo mawili ndio yanaweza kutufanyq tukajenga hoja nzuri