Mwekezaji kisarawe-atesa wanakijiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwekezaji kisarawe-atesa wanakijiji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Nov 1, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kama kawaida wawekezaji wanapo ingia nchini wanakuja wakiwa wameinama na ahadi kibao,lakini wakisha kubaliwa matakwa yao wanaanza kutoa makucha yao wakishirikiana na wazawa

  mwekezaji wa mmea wa jatropa hapo kisarawe hajatimiza zile ahadi alizozitoa kwa wananchi husika na kuaamuwa kuwafukuza kazi wale wote walioonekana wanahoji swala hilo

  si hivyo tu lakini hata madawa ayatumiayo kwa ajili ya mmea huo yamekuwa ni sumu inayouwa kinyemela wale wote walioshiriki kufanya kazi ktk shamba hilo

  hii ni hatari sana kwa wawekezaji kama hawa kuendelea kuwanyanyasa wazawa kana kwamba hawana haki ya kuishi ktk nchi yao walipozaliwa

  some times huwa namkubali sana mgabe,yeye bwana hawabembelezi hawajamaaa,na hii imesaidia kwa wananchi wa zimbabwe kufaidi maudhui ya uwekezaji

  mateso haya mpaka lini?
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Mkuu wewe mgeni na nchi hii.
  Hakuna watu wavivu kama watu wa sehemu hizi za pwani, akiingia muwekezaji basi kulima ni mwisho.
  Kila kitu ndo anabambikwa hata kabla mradi wenyewe haujaanza kujibu.
  Mtu makini ataiga yale anayofanya mwekezaji ili akiondoka naye afanye mradi unaolingana
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Babu wee! Pangu kapavu
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Umelalama weeeeeeeee lakini hujaiambia jf namna muwekezaji anavyonyanyasa watu, toa maelezo ili great thinkers waweze kujadiri.
   
Loading...