PreGE2025 Mwasisi CHAUMMA, Eugene Kabendera ajiunga CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sababu ya kujiondoa ikiwa ni " kukiukwa kwa misingi ya chama hicho" 🤔
 
Hahahaha! Mimi mwenyewe najiuliza. Huko nyuma nilikuwa najua mwanzilishi ni Rungwe na CHAUMMA ilikuwa ni mali yake kumbe wapo waanzilishi wengine.

Halafu huyu jamaa itakuwa wakati wananzisha CHAUMMA aliwa na umri wa miaka 30 hivi kwa mwonekano wake.
Huyo dogo hata 35 hajafika bado mbichi kabisa
 
Kwani hawa wapuuzi Wanakuwa wanaangalia itikadi za Chama au wanahama kama makahaba.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…