Mwarabu fighter

Mkuu Ngumi Jiwe alifanya nini tena mpaka kawa mpole?
Alikuwa anajifanya mbabe ,mtemi na alikuwa ana tabia ya kulawiti watoto kuna siku alimkamata mtoto mmoja kwa nguvu na kumlawiti yule dogo alilia na kusema ndani ya dakika chache vijana wa k koo ,wahuni walijazana kwake alipokea kipigo na waliitwa mateja wakamlawiti huku akichukuliwa video. Video yake ipo YouTube

Kawa mpole kama sio ngumi jiwe
 


DuuuH! Mtendwa katendwa, kweli mwisho wa ubaya aibu.
 
Ni kweli, ila bouncer au mlinzi kama huyu nafikiri ni zaidi ya hayo, ni mshauri, kumpa company, kumpa confidence Bw. Diamond. Ni ajira nzuri sana huko ughaibuni, ila kule sawa wanaangalia mambo ya ukubwa wa mwili na uwezo wa kujihami, ila wako zaidi hapo..Hata Diamond akiamuwa kuvaa zile dhahabu au Diamonds au Platinum basi anakuwa hana wasiwasi..Ila siku ikifika imefika hasa kama ukikutana na watu wanaitwa Pink Panthers Pink Panthers - Wikipedia piga magoti wacha wabebe watakacho mnyanyue mwajiri nendeni police tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…