Mwapachu kaibukia huku!

Sijui kwa nini wazee ni waoga wa maisha...mtu hana msimamo wala hajulikani anachoamini ni nini...

CDM wamenitoka lakini huyu mzee ndio kaniacha hoi

Siyo kwamba ni waoga hao wazee wanajua mengi sana kuliko wewe na mimi, hivyo mpaka Mzee kama huyo kuchukuwa uamuzi aliochukuwa ukizingatia uzoefu wakke wa kisiasa ndiyo utambue kwamba kuna kitu ambacho mimi na wewe hatukifahamu!
 
Hamna lolote...hawa ni design ya Dr Rutengwe aliyekuwa anajiliza kuwa familia inamtegemea...huku anakaribia umri wa kustaafu bado anategemea ajira serikalini...
Unless unataka sema alikuwa on special duty...kitu ambacho kitakuwa karibu na muujiza...
 
Kati ya watu ambao wameni-disappoint katika hii nchi yangu ya Wadanganyika huyu mzee ni mmoja wao. Anyways....!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…