Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,266
je wewe umejifunza nini?
Hata mimi nimetoka kapa. Na sijaelewa uhusiano wa heading na yaliyomo.sijajifunza
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah!usipowajua vizuri hawa viumbe kila siku utakuwa unabadilisha threads [emoji2]
Na kula viapo vya ajabu ajabu tu....Hata mimi nimetoka kapa. Na sijaelewa uhusiano wa heading na yaliyomo.
Ninachojua tu ni kwamba siku hizi hakuna mapenzi ya kweli...ni kutumia akili sana vinginevyo ukiingia kichwa kichwa utaishia kulia na kusaga meno!
Kujifunza hakuna limit. Kila siku utaendelea kujifunza kimpya. Maisha ni kujifunza Kila sikuusipowajua vizuri hawa viumbe kila siku utakuwa unabadilisha threads [emoji2]
Inshort je wewe mtu wako anakuonea wivu? Huo wivu unaamini anakupenda au anacheza na akili yako?Hata mimi nimetoka kapa. Na sijaelewa uhusiano wa heading na yaliyomo.
Ninachojua tu ni kwamba siku hizi hakuna mapenzi ya kweli...ni kutumia akili sana vinginevyo ukiingia kichwa kichwa utaishia kulia na kusaga meno!
je wewe umejifunza nini?
Ninachojua tu ni kwamba siku hizi hakuna mapenzi ya kweli...ni kutumia akili sana vinginevyo ukiingia kichwa kichwa utaishia kulia na kusaga meno!
Siku namzika mama mwaka juzi nililia sana sababu nilijua kuwa mapenzi ya dhati ndiyo nilikuwa nayazika sasa. Zilizobaki ni mbwembwe tu.Aah we! Wenye mapenzi ya dhati tupo tumejaa tele.
Daah! Pole sana.Siku namzika mama mwaka juzi nililia sana sababu nilijua kuwa mapenzi ya dhati ndiyo nilikuwa nayazika sasa. Zilizobaki ni mbwembwe tu.
Vipi Krismasi ilikuwaje? Nakutakia mwaka mpya mwema wewe na furushi lako; na wapendwa wengine [emoji1545]
Kuna mmoja huyo wivu wake ulikua ni wakupitiliza, ilifikia wakati hataki hata mashine isogeleane na korodani lazima azitenganishe, yaani wivu wake mpk kwenye korodani anaziona zinafaidi saaaana zikikaa karibu na mashine.Mleta thread hizo sio tabia za wanawake tu, hizo ni tabia za watu ambao ni "controlling na manipulators", Mtu huyo anawezakuwa au ni mwenza,mzazi,rafiki,Boss,ndugu au kiongozi wako n,k.
Kuna watu wana hizo tabia na wanajua wanachofanya na wanalenga kupata matokeo/faida fulani, na kuna wengine wanafanya out of love na anajikuta ameshakuwa "controlling". Kuhusu manipulators, hata mtoto wako mdogo anaweza kuwa manipulator.