Mwanzo wa mapenzi usikudanganye

Uko sahihi, mbwembwe za mwanzo ktk mapenzi hazina maana kabisa ...ingawa kuna wengne huwa ni wa kweli na hawabadiliki ila kuna wengne ni vichomi haswa yani.
 

Utoto raha sana, una ujumbe mzuri ila uko nje ya ulingo..... rudi kasome mada upya.
 
Humu watu wanastress sana za mapenzi, kila mtu ana kilio chake, mwingine hivi mwingine vile
 

Uko sawa kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…