Mwanza

Tanzania ya viwanda inaendelea.......

Kuna maji nilikunywa Ifakara yameandikwa Udzungwa..... aiseeh ni matamuuu achaa japo hayana sukari.
Kweli mkuu hata Mimi niliyatumia njombe kikweli udzungwa wanawazidi kipengere drink waters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…