Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,554
- 7,386
Tanzania ya viwanda inaendelea.......
Kuna maji nilikunywa Ifakara yameandikwa Udzungwa..... aiseeh ni matamuuu achaa japo hayana sukari.
KASIE USIFANANISHE UDZUNGWA NA MV NYERERE
Hata hatujui unataka nini hasa! Kuikalia au kuna lingine unataka tukusaidie.
Sie wenyeji tunapaita Ng'wadha au Ng'wanza....
Napenda Kiswahili sana.Acha kiswahili ndugu
Mkuu hii radha yake Kilimanjaro waende shuleduh jana tu nimekunywa,ina radha maridhawa
Tanzania ya viwanda inaendelea.......
Kuna maji nilikunywa Ifakara yameandikwa Udzungwa..... aiseeh ni matamuuu achaa japo hayana sukari.
Napenda Kiswahili sana.
Tanzania ya viwanda inaendelea.......
Kuna maji nilikunywa Ifakara yameandikwa Udzungwa..... aiseeh ni matamuuu achaa japo hayana sukari.
Kitumie vizuri kikusaidie maishani mwako sawa muraa
[emoji62]Kiswahili kinanitumia mimi.
[emoji62]
Mbona umetoa ile avatar yako ya miwani
Mkuu kwani hiyo aina miwani au nirudishe ile unatopenda
Ngoja nibadilisheIle ya yule jamaa amevaa miwani ila anatazama kwa macho.