Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Akizungumza na waandishi wa habari, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, amesema kuwa zoezi hilo linaanza leo Juni 12, 2021, na kueleza kuwa awali vivuko vilipewa barua na Wakala wa Usafiri wa Majini (TASAC) ya kusitisha huduma za usafiri tangu Mei 25 mwaka huu kufuatia vivuko hivyo kubainika kutokuwa na cheti cha ubora, cheti cha usajili na cheti cha viwango na sifa za mabaharia.MV Orion, moja ya kivuko kati ya viwili vilivyosimamishwa kufanya kazi
Babangu we ni mchagga?Sasa raia watavukia nini
Au ndo watapga mbisi
Ndyo mekuuBabangu we ni mchagga?
Hapo wanataka mmiliki alipe rushwa kwa huyo waziri then wapewe hivyo vibaliSasa raia watavukia nini
Au ndo watapga mbisi
Dhaaaa nchi ina Mambo hiiHapo wanataka mmiliki alipe rushwa kwa huyo waziri then wapewe hivyo vibali
Maendeleo kwa nchi za dunia ya tatu ni dhana ya ndotoni. Kwa fikra hizi zinazoamua kuhusu mstakabari wa maisha ya wananchi kwa namna hii ni hakika pasi na shaka kwamba kuna ki-aina fulani cha laana.Serikali imesitisha utoaji huduma za usafiri kwa vivuko viwili vya MV Athor na MV Orion vinavyofanya kazi kutoka Mwanza mjini kuelekea wilayani Sengerema mkoa Mwanza, baada ya kubainika kuwa na mapungufu, ambapo Waziri amesisitiza kuwa Wakuu wa mikoa na wilaya wasiingilie maamuzi hayo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, amesema kuwa zoezi hilo linaanza leo Juni 12, 2021, na kueleza kuwa awali vivuko vilipewa barua na Wakala wa Usafiri wa Majini (TASAC) ya kusitisha huduma za usafiri tangu Mei 25 mwaka huu kufuatia vivuko hivyo kubainika kutokuwa na cheti cha ubora, cheti cha usajili na cheti cha viwango na sifa za mabaharia.
Mbali na vyeti vyombo hivyo pia vilibainika kuwa na utata wa umiliki wa vyombo kwani wamiliki wa sasa walivinunua kutoka kwa mtu mwingine, pamoja na kupelekea kutopandishwa kwenye cherezo kwa muda mrefu kwa ajili ya kuchunguzwa kama vinakidhi haja ya kuendelea kutoa huduma.
Tumeona lakini Sababu ya kuvifungia ?Maendeleo kwa nchi za dunia ya tatu ni dhana ya ndotoni. Kwa fikra hizi zinazoamua kuhusu mstakabari wa maisha ya wananchi kwa namna hii ni hakika pasi na shaka kwamba kuna ki-aina fulani cha laana.
Unafungia vivuko viwili ambavyo vimekuwa ni msaada kwa serikali, wananchi na nchi kwa miongo mingi tu just kirahisi tu hivyo simply una mamlaka ya kufanya hivyo.
Laiti nchi hii tungelikuwa na watoa Huduma ambao ni serious na reliable kama mwenye vyombo hivi japo wawili kila Wilaya ni hakika tungekuwa ni taifa la kutolea mfano kwa ubora na uhakika wa Huduma zetu.
Mungu atusaidie ili tuweze kuzitumia mbongo na akili alizotujalia, tuachane na matumizi ya akili za matope.
"NOT YET UHURU"
Sarikali ingesaidiana na mmiliki kufuta suruhu ili watu wahudumiwe. Mbona sababu zenyewe ni za kawaida. We hujaona vyombo vinavyomilikiwa na serikali vinaua. Mv Bukoba!Tumeona lakini Sababu ya kuvifungia ?
Au baada ya kupoteza ndugu zetu ndio tutaanza kulaumu kwanini vilikuwa havifanyiwi check-up mpaka kuleta majanga kama hayo ?
Nilidhani kwa majanga yaliyoshatukumba tungekuwa tumeshajifunza... Hakuna chenye umuhimu kuliko Uhai wa Mwananchi (Safety First)
Mwenye nchi anakuja mwanza,atatengua hii kauli.Serikali imesitisha utoaji huduma za usafiri kwa vivuko viwili vya MV Athor na MV Orion vinavyofanya kazi kutoka Mwanza mjini kuelekea wilayani Sengerema mkoa Mwanza, baada ya kubainika kuwa na mapungufu, ambapo Waziri amesisitiza kuwa Wakuu wa mikoa na wilaya wasiingilie maamuzi hayo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, amesema kuwa zoezi hilo linaanza leo Juni 12, 2021, na kueleza kuwa awali vivuko vilipewa barua na Wakala wa Usafiri wa Majini (TASAC) ya kusitisha huduma za usafiri tangu Mei 25 mwaka huu kufuatia vivuko hivyo kubainika kutokuwa na cheti cha ubora, cheti cha usajili na cheti cha viwango na sifa za mabaharia.
Mbali na vyeti vyombo hivyo pia vilibainika kuwa na utata wa umiliki wa vyombo kwani wamiliki wa sasa walivinunua kutoka kwa mtu mwingine, pamoja na kupelekea kutopandishwa kwenye cherezo kwa muda mrefu kwa ajili ya kuchunguzwa kama vinakidhi haja ya kuendelea kutoa huduma.
Kwahio na vingine viuwe sababu vya Serikali vinaua ?Sarikali ingesaidiana na mmiliki kufuta suruhu ili watu wahudumiwe. Mbona sababu zenyewe ni za kawaida. We hujaona vyombo vinavyomilikiwa na serikali vinaua. Mv Bukoba!
Viongozi wafanye nini ili nchi isiwe na hayo mambo..?Dhaaaa nchi ina Mambo hii
"awali vivuko vilipewa barua na Wakala wa Usafiri wa Majini (TASAC) yaTumeona lakini Sababu ya kuvifungia ?
Au baada ya kupoteza ndugu zetu ndio tutaanza kulaumu kwanini vilikuwa havifanyiwi check-up mpaka kuleta majanga kama hayo ?
Nilidhani kwa majanga yaliyoshatukumba tungekuwa tumeshajifunza... Hakuna chenye umuhimu kuliko Uhai wa Mwananchi (Safety First)
Sasa hivi vivuko vya Kitano vinatamba tu hapo Kamanga.Serikali imesitisha utoaji huduma za usafiri kwa vivuko viwili vya MV Athor na MV Orion vinavyofanya kazi kutoka Mwanza mjini kuelekea wilayani Sengerema mkoa Mwanza, baada ya kubainika kuwa na mapungufu, ambapo Waziri amesisitiza kuwa Wakuu wa mikoa na wilaya wasiingilie maamuzi hayo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, amesema kuwa zoezi hilo linaanza leo Juni 12, 2021, na kueleza kuwa awali vivuko vilipewa barua na Wakala wa Usafiri wa Majini (TASAC) ya kusitisha huduma za usafiri tangu Mei 25 mwaka huu kufuatia vivuko hivyo kubainika kutokuwa na cheti cha ubora, cheti cha usajili na cheti cha viwango na sifa za mabaharia.
Mbali na vyeti vyombo hivyo pia vilibainika kuwa na utata wa umiliki wa vyombo kwani wamiliki wa sasa walivinunua kutoka kwa mtu mwingine, pamoja na kupelekea kutopandishwa kwenye cherezo kwa muda mrefu kwa ajili ya kuchunguzwa kama vinakidhi haja ya kuendelea kutoa huduma.
Pale kuna vivuko vya Kitano wala hakuna shida yoyoteHapa kuna la zaidi. Kamanga ferry ishawahi kufungiwa lakini baadae wakakifungua kivuko tena. Sababu ya mwanzo ilikuwa kelele hapo mahakama kuu. But kwa sasa mbadala wa kivuko ni mwaloni kwa mv samali