Juma wa Juma
Senior Member
- Jan 13, 2017
- 150
- 221
Hao wote walikuwa vibaraka waende tu na watazidi kuangaika kila mwaka tena ni wapuuzi wa mwisho.CHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA
Uongozi mzima wa chadema wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa chadema kumpokea Wema Sepetu kujiunga na chadema.
Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga Ccm. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa Chadema) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.
Mbowe alihamia lini ccm?Mbona watuhumiwa karibu wote wa madawa ya hayo ni wanaccm?
CHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA
Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.
Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.

Nadhani si viongozi hao sababu walioitoa ni ya kitoto maana haina mashiko.Hao viongozi wa ajabu mbona huko CCM ndio wamejaa watumiaji wauzaji Na wasafirishaji waende tu Manji nae yuko Chadema?
Mkuu, diwani manji na mwanaccm "kindakindaki" anaendeleaje?Mbowe alihamia lini ccm?