Mwanza: Precision Air yapata Msukosuko leo kwenye kutua baada ya Kundi la Ndege kuingia kwenye Matairi

Hii ilikua na injini za pangaboi, sijajua madhara yake endapo ndege ya injini za jet ingekumbana na hii kadhia hali ingekeaje, naamini kuna namna ya kukinga kitu kisiingie kwenye zile injini zaidi ya hewa.

Lakini lile kundi la ndege lilikya kubwa kiasi cha kusababisha tafrani.

barafu tunaomba maoni yako
Ashukuru tu ni pangaboi, ndo uzuri wake, ingekuwa jet kitu kingeenda down
 
Hapa umuhimu wa Panga boi Ndio huo
jet tungelisikia mengine
ila yote nayote Mungu mkubwa
 
Hapo ni Mungu amefanya yake, Majuzi nilisikia lidege la kivita lenye gharama kubwa, highly modernized one, liliangula baada ya kugangana na ndege.

Mungu ni Mwema.
 
Shirika la ndege la PrecisionAir jana limepata mkasa wa kukumbana na kundi la ndege/birds wakati likikaribia kutua mwanza airport leo mchana, rubani makini na mwenye weledi wa kupigia mfano alifanikiwa kutua bila ajali yoyote. Abiria wote walitoka salama salimini.

Tunahitaji mashirika yenye wafanyakazi wenye weledi kama hawa, sio changamoto kidogo unapaniki unaingiza ndege kwenye ajali kubwa ya hadi kuwaka moto au kuzama ziwani metu metu

Taarifa na picha kutoka whatsapp.

Heko rubani wetu
Yawezekana kweli ni rubani lakini aina ya ndege pia. Ingekuwa ni Jet engine mambo yangeharibika. Hii ya mapanga boya, nafuu.
 
Hongera sana Rais Magufuli hizi zote ni jitihada zake. Bila yeye kungekuwa na ajali kubwa sana.

Shirika la ndege la PrecisionAir jana limepata mkasa wa kukumbana na kundi la ndege/birds wakati likikaribia kutua mwanza airport leo mchana, rubani makini na mwenye weledi wa kupigia mfano alifanikiwa kutua bila ajali yoyote. Abiria wote walitoka salama salimini.

Tunahitaji mashirika yenye wafanyakazi wenye weledi kama hawa, sio changamoto kidogo unapaniki unaingiza ndege kwenye ajali kubwa ya hadi kuwaka moto au kuzama ziwani metu metu

Taarifa na picha kutoka whatsapp.

Heko rubani wetu
 
Hawa ndege walikuwa kwenye route yao ya kila wakati wakiwa wanahama
Sasa swali hao wataalamu wa hali ya hewa hawakujua kuwa ndio msimu wao?
Pilot kauwa wangapi hapo
 
Nikweli kabisa hakika ni jambo la kumshukuru mungu. maana kama hili tatizo lingetokea wakati ndege ikiwa angani sidhani kama mfumo wa taili ungefanya kazi vizuri.
hahaha mkuu ko ilitokea ikiwa ikiwa imetua tayar au ?#kazi ipo
 
Back
Top Bottom