Mwanza: No Reforms No Election yapokelewa kwa kishindo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,707
Reaction score
272,604
Hii hapa ni Kata ya Igoma, Jimbo la Nyamagana, ambako wananchi wote wamekubaliana na Hoja zote za Chadema

Screenshot_2025-05-12-17-07-22-1.png
Screenshot_2025-05-12-17-07-11-1.png

Pichani ni kamanda Ole Sosopi akifundisha maana halisi ya No Reforms No Election

Screenshot_2025-05-12-17-12-27-1.png
Screenshot_2025-05-12-17-12-06-1.png

Picha ya Chini, Polisi waliojifunika sura ili kukwepa "vumbi" wakifuatilia hoja kuhusu Kikokotoo kwa Makini.

Screenshot_2025-05-12-17-06-35-1.png
 
Nipo hapa buzuruga jirani na igoma kabisaaa...ila hamna shamrashamra kabisa!!
mbona unajibu zisizo na mashiko.Ni kuulize kama mambo yanafanyika KIMARA unasema na temeke itakuwa sehemu moja.
 
Hii hapa ni Kata ya Igoma, Jimbo la Nyamagana, ambako wananchi wote wamekubaliana na Hoja zote za Chadema

View attachment 3331856View attachment 3331857

Pichani ni kamanda Ole Sosopi akifundisha maana halisi ya No Reforms No Election

View attachment 3331858View attachment 3331859

Picha ya Chini, Polisi waliojifunika sura ili kukwepa "vumbi" wakifuatilia hoja kuhusu Kikokotoo kwa Makini.

View attachment 3331860
Ruhusuni katiba mpya na uchaguzi huru kabla ya wanaodai kuwa wengi.
 
Hii hapa ni Kata ya Igoma, Jimbo la Nyamagana, ambako wananchi wote wamekubaliana na Hoja zote za Chadema

View attachment 3331856View attachment 3331857

Pichani ni kamanda Ole Sosopi akifundisha maana halisi ya No Reforms No Election

View attachment 3331858View attachment 3331859

Picha ya Chini, Polisi waliojifunika sura ili kukwepa "vumbi" wakifuatilia hoja kuhusu Kikokotoo kwa Makini.

View attachment 3331860
"...wakifuatilia hoja kuhusu Kikokotoo kwa Makini "
 
Back
Top Bottom