Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,645
- 19,743
Kambotwe wewe ...na ulipie tangazo lako hapa.... Mke watu Malaya malaya....ungeweka na namba kabisa watu wakubanjue.....Habari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijali, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambie, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Acha tu [emoji23][emoji23]Nini bro?
Am sure hata Hilo ghorofa halipo,fuatilia comment zake anapenda sana kujisema unajua sie matajiri this,matajiri that....kimsingi ukisikia hivyo hamna kitu hapoSi kila ndani ya ghorofa kuna mapochopocho, mengine ni dona na nsansa.
Kambotwe wewe ...na ulipoe tangazo lako hapa.... Mke watu Malaya malayaHabari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijali, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambie, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Mwisho WA siku wanazikimbiaga akaunti zao Kwa ujinga wao....6. HUENDA ANACHANGAMSHA JUKWAA NA WEEKEND IISHE VYEMA
Naona haujaelewa, usichukulie maneno kama yalivyo.Am sure hata Hilo ghorofa halipo,fuatilia comment zake anapenda sana kujisema unajua sie matajiri this,matajiri that....kimsingi ukisikia hivyo hamna kitu hapo
Kabisa asee. Huyu ni wa wote 😁Mnapasiana dah! [emoji23][emoji23][emoji23]
Aah dogo kung'ang'ania ulipoachwa ni kujitakia kisukari na pressure...Niko zangu Pwezapweza naupa pole moyo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa asee. Huyu ni wa wote [emoji16]
Am sure hata Hilo ghorofa halipo,fuatilia comment zake anapenda sana kujisema unajua sie matajiri this,matajiri that....kimsingi ukisikia hivyo hamna kitu hapo
Hasara ni kwake punguza makasirikoKambotwe wewe ...na ulipoe tangazo lako hapa.... Mke watu Malaya malaya
Mwisho WA siku wanazikimbiaga akaunti zao Kwa ujinga wao....
😂🤣🤣Mbona wamepanikHasara ni kwake punguza makasiriko
Unapeeendaa ujinga🤣Another bhaangaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Umbweto wewe wao watikise vibuno😂😂😂🤣🤣Mbona wamepanik
Kumbwatonimbwato mie
Maumivu wapate wao
Nilijua upo na mheshimiwa!maana nyie waheshimiwa weekend kama hizi mtakuwa mbugani,nikaona nikanywe zangu Pearl Bay moyo upoze machunguDada mbona hujanishtua twende wote?
Kabisa kweli epuka visukari mwaya, kwanza bado unalipa [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Na akijirudisha hamna kumkubali ateseke akufwee [emoji23][emoji23][emoji23]
We mpelekee akaisasambue tu hio mbunyesti maana hamna namna ingineHapana hatukuongea sana
Ila nilihisi msukumah kwakua hakuwa na lafudh ya kihaya
Aloo jamaa ni mzuri balaa
Kwa hiyo ulitaka akuogope,kanda ya ziwa huwa hatuogopi wanawakeHapana yani kule kujiamini kwake kama mwanaume kumefanya nimpende ghafla
Yaani alivyoniita kama demu wake vile, halafu alikuwa very calm