MWANZA: Mwalimu afumaniwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake darasani

MWANZA: Mwalimu afumaniwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake darasani

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,269
Reaction score
25,312

Mwalimu Abasi Hussein wa shule ya msingi Mwabomba iliyopo tarafa ya Ngula wilayani Kwimba mkoani Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kukutwa darasani akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha nne mwenye umri wa miaka 17.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo mkoani humo na kusema mpaka sasa mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 27 anashikiliwa na jeshi la polisi muda wowote upelelezi ukikamilika mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo.

"Babu wa mwanafunzi alipoona mjukuu wake amechelewa kurudi nyumbani alianza kufanya msako, alikwenda kwenye shule ya sekondari lakini hakumuona ikabidi aendelee kumtafuta mjukuu wake, ilipofika kwenye muda wa saa sita na kitu alikwenda kwenye shule ya msingi ya Mabomba katika moja ya darasa wakakuta huyo mwanafunzi wa kike akifanya mapenzi na mwalimu wa shule hiyo ya msingi ya Mwabomba" alisema RPC Msangi

Msangi aliendelea kuelezea jinsi babu alivyoweza kuwakamata watu hao

"Yule babu alikuwa ameongozana na watu wengine hivyo walipowaona waliwakamata wakaita na watu wengine, baadaye taarifa zilifika kituo cha polisi na polisi walikwenda na kuwakuta watuhumiwa hao kwenye lile darasa hivyo wakawachukua na kuwafikisha kituoni, hivyo mtuhumiwa yupo kituo cha polisi tunaendelea na mahojiano na taratibu nyingine za kiupelelezi zinaendelea ili tuweze kukamilisha upelelezi tuweze kumfikisha mahakamani kujibu tuhuma hizo" alisisitiza Msangi

Mbali na hilo Kamanda Msangi ametoa onyo kwa watu wanaojihusisha na mapenzi na watoto chini ya miaka 17 na kusema huenda awe amekubali mwenyewe hilo ni kosa la ubakaji hivyo amewataka kuacha na kusema kufanya vitendo hivyo ni sawa na kuhitaji kwenda jela miaka 30.

Chanzo: Mpekuzi
 
Nilishawahi sema Hawa Walimu Wa siku hizi wana wakati mgumu sanala kwa Hawa mabint Wa kuweza kujizuia na ashki.

Hivi visichana vya siku hizi kiukweli ni vizuri, bint Wa miaka 15 kainuka utafikiri Dada Wa miaka 25.

Ukisoma maelezo hapo inaonesha hata bint alikubali game na mwalimu, kwa kifupi walikubaliana kosa ni kufumaniwa.

KUTEMBEA NA MWANAFUNZI HAKUWEZI KUKUACHA SALAMA.
 
Na Hawa Wanafunzi Waache Kuwatega Walimu Jamani Binti Anajifanya Hajaelewa Somo Mbio Mpaka Ofisini Kwa Mwalimu Nyonyo Saa Sita Robo Tatu Iko Nje, Pajapaja Jeupe Mara Afunue Sketi Mara Ajikune Sehemu Hatari,mtoto Anaonge Amebana Sauti Jicho Tepetepe, Mara Kwenye Daftari Kimemo Mwl. Nakupenda Na Watoto Siku Hizi Ni Wazuri Vizuri Vibaya Sana Waalimu Wakati Mwingine Wanavumilia Mpaka Wanaamua Kujilipua. NB: Siwatetei Waalimu Sheria Ichukue Mkondo Wake
 
Walimu wa siku hizi utafikiri wanaenda kusomea ngono waje wawafundishe watoto

don't care for those who ignore you,care for those who are ignoring others for you[\color].

 
Huo ni mwiba wa kujidunga! Miaka 27, upo kazini, tena labda unachumba chako umepanga. Kwa nini bado haujaoa tu! Badala yake unagegeda mtoto wa shule, miaka 17! Mbona ticha umeamua kujiletea janga!

Sidhani kama "Ngosha" atakuacha salama! Maana hili amelipigia kelele juzi juzi tu. Starehe ya kula kitoto cha shule lazima itakugharimu miaka 30 jela!
 
Back
Top Bottom