Wadau habari za jioni!
Tangu jana niko kwwnye mji ambao wengi wanauita Rock City, ama kweli ni jiji la miamba tu halina lolote
Lengo lengo langu hasa hapa nilikuja kutafuta Vitendea kazi ikiwa ni pamoja na kutafuta Video Camera na vifaa vingine, cha ajabu maduka MWANZA hakuna hata Duka la vifaa hivyo vidogo ktk maisha
Nyie wasukuma watani zangu msirudie hata kulinganisha mwanza Na Arusha pls.