Bado sijawa na uhakika nayo sana hii kitu kwa sababu zifuatazo.
- kwanza hii ni picha ya interchange ya Uganda.
-sisikii harakati za bomoabomoa pale buhongwa wakati ile barabara ya buhongwa igoma karibu itaanza kujengwa.
-kama wataweka interchange buhongwa basi hata igoma itakuwa haiepukiki