Hizo five stars hotels sasahivi wanakaa wanafunziHivi Mwanza kuna Five stars hotel ? Usiniuluze kama Arusha ipo maana zipo.
Hata ile AICC imebaki kama gofu tu, international conference sasa ni Julius Nyerere International Convention Centre. DSMHizo five stars hotels sasahivi wanakaa wanafunzi
Belmount na gold crestHizo five stars hotels sasahivi wanakaa wanafunzi
AICC inapiga kazi sema kwa mwaka huu kutokana na covid 19 biashara imekua ngumuHata ile AICC imebaki kama gofu tu, international conference sasa ni Julius Nyerere International Convention Centre. DSM
Na mwanza hizo conference zenu mnafanyiaga vichakani au ziwani??Hata ile AICC imebaki kama gofu tu, international conference sasa ni Julius Nyerere International Convention Centre. DSM
Na hata this week inaendelea conference ya private sector nchi nzimaAICC inapiga kazi sema kwa mwaka huu kutokana na covid 19 biashara imekua ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv ile njia ya kwenda Igombe haitafungwa kweli!??
maendeleo mazuri sana
kwa nn waifunge?Hv ile njia ya kwenda Igombe haitafungwa kweli!??
Kuna muda ilifungwa na issue ilikuwa upanuzi wa uwanja nafkr n zile running way!! Sasa wasiwasi wangu na huu ujenzi unaondelea mwisho was siku labda tutazuiliwa kupita hapo mkuukwa nn waifunge?
kwani uwanja unafika huko
Ila Barabara ya kupitia Shibula ikikamilika kwa kiwango cha lami wanaweza ifunga tu. Currently bado inafanya kazikwa nn waifunge?
kwani uwanja unafika huko
Dam ya ubaguzi inatafuna ilikua na jirani zetu kenya sasa tunarudiana wenyeweKwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
ahaaa bas hapo sawaIla Barabara ya kupitia Shibula ikikamilika kwa kiwango cha lami wanaweza ifunga tu. Currently bado inafanya kazi
View attachment 1654555
Kavamia uzi, na hoja dhaifu😀😀😀Dam ya ubaguzi inatafuna ilikua na jirani zetu kenya sasa tunarudiana wenyewe