Hii njia haina gari nyingi Sana kam njia ya kwenda Kisesa Toka town au Ile yakutoka town kupitia Nyegezi stand mpk usagara Huko!! Kwann wasiweke barabara 4 hii yakuelekea usagara toka town nyegezi buhingwa mpk Usagara ambayo kimsingi ni njia iliyobusy Sana!!!
Typed Using KIDOLE