Kuna watu ni wapumbavu sana, wao ukizungumza wanakurupuka kuanza mashambulizi. Wandhani sisi wengine hatujui kutukana labda.Wakuu tubaki kwenye maada yetu ya msingi, penye mazuri hapakosi mapungufu tujikite kwenye kutoa suluhisho la Nini kifanyike. Matusi, kejeli , vijembe na dharau hapa si pahala pake.๐๐๐๐
Lile jengo la pale Ghana limefikia floor ya ngapi tujuzaneKuna watu ni wapumbavu sana, wao ukizungumza wanakurupuka kuanza mashambulizi. Wandhani sisi wengine hatujui kutukana labda.
Mimi nimefika Mwanza, nimekaa muda kidogo na nilikuwa natafuta kiwanja nimezunguka mnooo kuanzia BUSWELU, NYAMHONGOLO, KISESA YOYE, KISHIRI, mpaka MAHINA.
Nimefika kwa Rafiki yangu anaishi MHANDU na ni konda wa daldala. Nimejionea mwenyewe.
Lakini ukizungumza takataka Fulani inakuja juu utafikiri unaitakia Mwanza mabaya.
Mimi kwetu Butiama, nauli ya Mwana kwetu 10,000/= siwezi kukaa naiombea mabaya Lake zone wakati ndio kwetu.
Lazia tuzungumze HALI HALISI ili maboresho yafanyike.
Kiuhalisia Mwanza watu wanajituma sana lakini MAMLAKA zinawaangusha sana watu.
Hilo eneo nilipita nikiwa kwenye daladala, na unajua Mwanza na vi-hiace vidogo ukikosa seat ndio Basi tena hata nje huoni.Lile jengo la pale Ghana limefikia floor ya ngapi tujuzane
Kuna PLAN ya kuchonga barabara Inapita hapo ISELA chini ya eneo la BUGANDO inaenda nadhani Masemele mpaka KISESANimeipenda hii ya kuiunganisha Isela na Kisesa, Jambo la msingi sana. Mchakato ufanyike haraka sana.
Mahitaji ni mengi kuliko kipato, ila watapeleka tu barabara. Mahitaji ya kijamii ni kichocheo kikubwa kwa serikali kutoa huduma. Wanajenga mji wa Mtumba wakati hakuna watu au mahitaji hayo kwa sasa.Kuna PLAN ya kuchonga barabara Inapita hapo ISELA chini ya eneo la BUGANDO inaenda nadhani Masemele mpaka KISESA
In short, hiyo Isela imeshajaa watu lakini barabara iliyopo ni Kama Njia ya ng'ombe.
Na baadaye ya muda Bugando wakishaanza ujenzi wa Chuo Chao tayari Inaungana na Magaka, Kahama na Ilalila. Watu wanaanza kwenda nyuma ya Ilalilia huko wanaita Isanzu.
Nimekaa Arusha na Kilimanjaro huw Kuna utamaduni mmoja mzuri.M
Mahitaji ni mengi kuliko kipato, ila watapeleka tu barabara. Mahitaji ya kijamii ni kichocheo kikubwa kwa serikali kutoa huduma.
Kitombile usibishe, huwezi niambia kila baada ya saa moja yanatoka mabasi 120, kama stendi haitoshi ni watu Wamegeuza garage.Mkuu magari hayakai sana stendi ni mwendo wa kushusha na kupakia na kuondoka lakini mabasi yanakosa sehemu ya kupaki nenda kajionee mkuu.
Nimeshangaa yameanza matusi tena.Wakuu tubaki kwenye maada yetu ya msingi, penye mazuri hapakosi mapungufu tujikite kwenye kutoa suluhisho la Nini kifanyike. Matusi, kejeli , vijembe na dharau hapa si pahala pake.๐๐๐๐
In short, kwa uchunguzi wangu sijaona Kama pale ndani hapatoshi kwa Sasa.Kitombile usibishe, huwezi niambia kila baada ya saa moja yanatoka mabasi 120, kama stendi haitoshi ni watu Wamegeuza garage.
London ina stendi moja kubwa, hiyo stendi ina mageti kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria, sidhani hata kama yanafika 100.
Basi linakuja kwenye Gate labda dk 15 kabla ya safari, ukifika muda linaondoka saa nyingine dk 5 tu zinatosha hasa kushusha.
Hakuna basi inakaa zaidi, kwa utaratibu huu stendi ni ndogo ila inahudumia basi nyingi kwa siku kuliko stendi kubwa ya nyamhongolo sisi basi inakaa masaa inazibia zingine.
Basi zinazohudumiwa na stendi ya London tukileta nyamhongolo si tutahitaji kata mzima kwa ajili ya stendi tu.
Inaweza kuwa kweli lakini nasikia mabasi hayakai sana, lakini pia tuliambiwa hii stendi inauwezo wa kupark mabasi 120 kumbe ata 80 hayafiki.Kitombile usibishe, huwezi niambia kila baada ya saa moja yanatoka mabasi 120, kama stendi haitoshi ni watu Wamegeuza garage.
London ina stendi moja kubwa, hiyo stendi ina mageti kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria, sidhani hata kama yanafika 100.
Basi linakuja kwenye Gate labda dk 15 kabla ya safari, ukifika muda linaondoka saa nyingine dk 5 tu zinatosha hasa kushusha.
Hakuna basi inakaa zaidi, kwa utaratibu huu stendi ni ndogo ila inahudumia basi nyingi kwa siku kuliko stendi kubwa ya nyamhongolo sisi basi inakaa masaa inazibia zingine.
Basi zinazohudumiwa na stendi ya London tukileta nyamhongolo si tutahitaji kata mzima kwa ajili ya stendi tu.
Hata kama inaweza kupaki mabasi 50 kwa wakati mmoja bado ni stendi kubwa.Inaweza kuwa kweli lakini nasikia mabasi hayakai sana, lakini pia tuliambiwa hii stendi inauwezo wa kupark mabasi 120 kumbe ata 80 hayafiki.
Please...lugha nzuri hufanya hoja yako ionekane na mantiki .ukitumia lugha ya matusi unaharibu facts zako ..Tumia akili acha ujinga ngoja nikuelimishe hayo unayoona majaruba kama macho yako yanavyoona hizo ni "open space" ni viwanja vya halmashauri kwa mipango miji ya baadae.
Et wakazi wa nationa wanafikaje we kweli pimbi, mtaa wa nationa si upo barabara tu hapo nyerere road ata mitaa ya ndani kama gedeli kuna barabara poa tu sema hazina lami.
Naona una mihamko unayokusumbua buswelu iba mitandao ya lami mikubwa sana kwanza barabara ya kutoka sabasaba, kiseke adi buswelu na nyingine inaanzia kona ya veta adi buswelu, kahama adi ilalila.
Kuna coaster nyingi tu zinazotoka mjini kati kupitia kahama adi isela barabara inapitika vizuri sema ya kuelekea isela haina lami.
Kuhusu wakazi wa bukaga kishiri wanafikaje wanafikaje kwani walipojenga huko walikuwa wanafikaje acha uzwazwa, ngoja nikutoe tongotongo kuna miradi ya lami kishiri na fumagila, kishiri wataweka lami ngumu na fumagila wataweka lami nyepesi inayopitia bukaga.
Unauliza kijinga sana et watu wa bujora kisesa watafika wakati kila week naenda bujora kuna lami imeishia ngomeni lakini haijafika bujora japo barabara inapitika vizuri tu na ina trenchi zipo poa lakini jambo la msingi ni kuweka lami adi bujora.
N.B KWANZA UNATAKIWA KUJIULIZA MWANZA IMETOKA WAPI NA SASA TUNAELEKEA WAPI TUSIPENDE KUPONDA SANA TUWE WATU WA SHUKRANI NA MAMBO YOTE HAYAWEZI KUFANYWA KWA MARA MOJA, SUBIRI MIRADI YA TACTIC ITUVUSHE[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hii stendi ni kubwa mno kwa vyovyote vile haiwezi kujazwa na mabasi labda kama daladala zinaingia mpaka ndani ya stendi. Kusema Buzuruga na Nyamhongolo zinafanana ukubwa sio kweli, nyamhongolo ni kubwa karibia mara 2 ya Buzuruga. Kama Buruga ilikuwa haijazi mabasi iweje nyamhongolo ijae?Hata kama inaweza kupaki mabasi 50 kwa wakati mmoja bado ni stendi kubwa.
Waweke utaratibu kwamba basi likikaa Humo ndani zaidi ya nusu saa linakutana na faini getini uone.
Hawa ilemela.ndani ya robo Moja wameingiza bilioni 5 .kama wakienda hvi robo zote watakuwa na bilioni 20 .Tukimaliza quarter ya mwisho wa mwaka na uhakika mapato Ilemela yatavuta 10+ billion
Nimefananisha ukubwa kwa maana ya uwanja wa katikati wa parking. Kwasababu wanasema Kuna eneo la parking ya maroli nje ya pale ndani.Hii stendi ni kubwa mno kwa vyovyote vile haiwezi kujazwa na mabasi labda kama daladala zinaingia mpaka ndani ya stendi. Kusema Buzuruga na Nyamhongolo zinafanana ukubwa sio kweli, nyamhongolo ni kubwa karibia mara 2 ya Buzuruga. Kama Buruga ilikuwa haijazi mabasi iweje nyamhongolo ijae?
Hizi taarifa za nyamhongolo kujaa zimetoka wapi au kuna mtu mmoja kaamua kuzusha?
Halafu kusema basi likae zaidi ya nusu saa lipigwe faini sio sawa. Hii stendi sio kwamba mabasi yanapita yanakuja kuishia hapo na kuanzia safari hapo.
Kwa mfano gari litoke msoma lishushe ndani ya nusu saa linapata wapi abiria wa kujaza halafu ukumbuke halipo moja tu kuna mabasi mengi ya ruti hiyo
Stendi Ina capacity ya mabas 120 ,,,kinachowavuruga ni hizo tata za kwenda simiyu ,mugumu,bunda ,kisorya,nyambiti,musoma na kiabakari ...wazipeleke kwenye stendi ya kisesa...ni njia nyepesi isiyo na gharamaWamiliki wa mabasi wanalalamika udogo wa stendi ya nyamhongolo, imefikia hatua mabasi yakosa sehemu ya kupark, lakini hii stendi tulidanganywa inauwezo wa kupaki mabasi 120 kumbe unawezo wa mabasi 80 tu.