Round about mpya ya buswelu kuelekea kahama adi Ilalila ni mkeka kama kawa, hii ni nyingine tofauti na ile ya barabara ya sabasaba, kiseke adi buswelu๐
Ilemela miaka mingi imekuwa na DC waliolala, ila kwa huyu wa sasa hivi kazi anapiga. Ana account instagram na facebook. Kazi zake nyingi huwa ana update kule Login โข Instagram
Ila Nyamagana nao wameamua kufanya kweli kwasasa, kuna barabara nyingi sana za ndani ndani wameweka lami nyepesi, kama bulale, mkolani, maeneo ya mahina ya bismark, mwananchi, mhandu na mengi tu ni kama yamewekwa mkeka na barabara nyingine wanaweka za mawe, pia mwezi wa saba watatandaza lami ya 12km kutoka buhongwa, kishiri adi Igoma kwa lami ngumu lakini kishiri adi fumagila wataweka lami nyepesi, Naona Mabula wa kiume kwasasa anaupiga mwingi.
Ilemela miaka mingi imekuwa na DC waliolala, ila kwa huyu wa sasa hivi kazi anapiga. Ana account instagram na facebook. Kazi zake nyingi huwa ana update kule Login โข Instagram
DC Ilemela is on Facebook. Join Facebook to connect with DC Ilemela and others you may know. Facebook gives people the power to share and makes the world more open and connected.