mirinda tamu
Member
- Sep 2, 2013
- 76
- 27
Wanajamii
Benki Ya Amana Tawi La Mwanza limevamiwa na majambazi wenye seilaha nzito na kufanikiwa kuiba kiasi kikubwa cha fedha.
Bado nafuatilia kujua kama kuna mtu yoyote aliejeruhiwa ama kuuwawa katika tukio hili la ujambazi wa kutisha.
Polisi imejipanga MATUKIO kama haya yasitokee tena!!!!!
Nilikua mitaa ya mwanza hotel tumeshudia show nzuri gold crest hotel hakuna uhakika inasemekana polisi walikua wanafanya mazoezi ya kuzuia ugaidi! Mabomu mazito na risasi zimepigwa! Ngoja nijaribu kuweka picha.aisee kumbe noma mlio wa bomu ukisikika fahamu ya kuchukua picha inatoka!I'll hit u
says Kagame
leo nimesikia redioni asubuhi kwamba mtuhumiwa akikubali kosa atasamehewa kupunguza gharama za kuenesha jela... matukio kama haya yatashindwaje kutokea tena???Polisi imejipanga MATUKIO kama haya yasitokee tena!!!!!