mwamajinja mapunga
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,074
- 613
Kwani huyo Mwanyamaki wako ndio kafanya niini,...?
Bora hata Mwakalinga kawachangamsha na Kyela fm....
mungu akubariki sana .nGOJA NIKUELEKEZE VIZURI KIJANAt ni kwamba Abraham Mwanyamaki ni mzawa wa kijiji cha ikombe na amesaidia mambo mengi ikiwemo asasi yake ya Pambana Saidia Jamiii kiufupi anafahamika kwa wakubwa na wadogo amechangia sana chama hasa matawi ya hukoo kwenye kata mbalimbali....kifupi tu umjue
Urais nani kampa...???.damet...!Mwakyembe ndio rais wa Kyela,hakuna wa kumtoa pale
Ahahahaaaaa..abandaba ilyijoooo_....mkuu hebu tutake radhi huwezi kusema akili za wanyakyusa za kushikiwa kisa tu umejibizana vbaya na huyo mmoja..
Hapo umetuchanganya kwahyo n vzr ukafuta kauli yako
badala ya kuwasiliana na vijana unawasiliana na wazee !Jana nilikuwa nawasiliana na wazee wa huko ndio nmeambiwa kuna ushindani lakn wamesema mwakyembe lazma arudi mjengon tena, maana bado hawajaona mtu mwenye ushawishi wa kumzidi mwakyembe,,
walichonambia kuhusu mwanyamaki wanasema hawawezi kuongozwa na mtu ambaye hatambulikani vzr yatajirudia ya mwakipesile ambaye mda wote bungen alikuwa anasinzia..
badala ya kuwasiliana na vijana unawasiliana na wazee !
Jana nilikuwa nawasiliana na wazee wa huko ndio nmeambiwa kuna ushindani lakn wamesema mwakyembe lazma arudi mjengon tena, maana bado hawajaona mtu mwenye ushawishi wa kumzidi mwakyembe,,
walichonambia kuhusu mwanyamaki wanasema hawawezi kuongozwa na mtu ambaye hatambulikani vzr yatajirudia ya mwakipesile ambaye mda wote bungen alikuwa anasinzia..
badala ya kuwasiliana na vijana unawasiliana na wazee !
tangu nizaliwe sijawahi kuona utafiti wa dakika 5 .mkuu vijana walio wengi hawapigi kura wengi wapo vijiwen tu kupiga soga na kula viroba,, haya nayokwambia nmefanya utafiti.
Kuwasiliana na wazee sio uthibitisho wa kwamba Mwakyembe atarudi bungeni tena mkuu,..jiongezee kidogo
tangu nizaliwe sijawahi kuona utafiti wa dakika 5 .
kasyupa alipipi alimshinda mwakipesile aliyekuwa sonchiba .ansee! anse! Mkuu hii michakato nmeanza tangu enzi za kina kasyupa sijui ww ulikuwa unamiez mingap?
kwaheri ccm kyela , mamluki mliopandikiza wote chali !
cdm ni mpango wa Mungu , hakuna hila itakayofanikiwa .mamluki gani tena? Tupe habar iliyokamili
amina sana .I appreciate MWANYAMAKI since long tym ago.
BIG UP CHADEMAII WILL NEVER LEAVE ALONE FOREVER TOGETHER..
halafu wako wachache sana .Kuwasiliana na wazee sio uthibitisho wa kwamba Mwakyembe atarudi bungeni tena mkuu,..jiongezee kidogo