Huyu mama na wakina John Bendela, Bulihani nk tuliwakataa katika boxi la uchaguzi ila wamependwa zaidi na JK.
Huyu leo nimmsikia naibu mkuu wa mkoa wa Dsm anaumuhimu gani ndani ya taifa hili nakumbuka alikuwa wizara ya elimu akavurunda, jimboni kwake badala ya kupeleka maendeleo akapeleka kwenye mifugo yake akapigwa chini, nikashangaa akawa mkuu wa mkoa wa Pwani sijui imekuwaje na huko leo yuko Dsm anasogezwa tuuuuuuu.........
Kuna usiri gani hapa????? Na ananyodo kweli
Taratibu Mkuu, hakuna cheo kinachoitwa Naibu Mkuu wa Mkoa nchi hii.
.......................Hivi leo matokeo ngapi ngapi?
Huyu mama na wakina John Bendela, Bulihani nk tuliwakataa katika boxi la uchaguzi ila wamependwa zaidi na JK.
Huyu leo nimmsikia naibu mkuu wa mkoa wa Dsm anaumuhimu gani ndani ya taifa hili nakumbuka alikuwa wizara ya elimu akavurunda, jimboni kwake badala ya kupeleka maendeleo akapeleka kwenye mifugo yake akapigwa chini, nikashangaa akawa mkuu wa mkoa wa Pwani sijui imekuwaje na huko leo yuko Dsm anasogezwa tuuuuuuu.........
Kuna usiri gani hapa????? Na ananyodo kweli
Wivu ni jadi yenu wabongo!
Umekosa kashfa umebakia ANA NYODO!
Sasa wewe umeamua kuwa mbishi. Hata mimi nimeona kwenye taarifa ya habari nikashangaa huyu maza vipi tena ndani ya Dar!

Huyu mama ni Hajjat. Anamcha Allah kuliko hata Mungu aliyemuumba