Mwantumu Mahiza, ana nini? Anasogezwa ikulu japo tulimkataa!

Kwani kwenye serikali ya Kikwete kuna asiyetia shaka? Hapa hakuna cha wivu wala nini. Kama mtu alikataliwa kwanini kupewa nafasi wakati watu wanaokubalika wapo? Tatizo la watu wengine ni kuangalia karibu kiasi cha kupendelea hata visivyopendelewa.
 
Huyu mama na wakina John Bendela, Bulihani nk tuliwakataa katika boxi la uchaguzi ila wamependwa zaidi na JK.

Huyu leo nimmsikia naibu mkuu wa mkoa wa Dsm anaumuhimu gani ndani ya taifa hili nakumbuka alikuwa wizara ya elimu akavurunda, jimboni kwake badala ya kupeleka maendeleo akapeleka kwenye mifugo yake akapigwa chini, nikashangaa akawa mkuu wa mkoa wa Pwani sijui imekuwaje na huko leo yuko Dsm anasogezwa tuuuuuuu.........

Kuna usiri gani hapa????? Na ananyodo kweli

Huyu ni kama wale kina Hajjat Amina Mrisho ambaye katika miaka minne tu ametoka tawimu kama mfanya kazi amekuwa DC Bukoba, RC Pwani, Rc iringa na Kamishna wa Sensa. The lucky ones!!
 
Anafanya nini Dar?
Ni "Naibu" Mkuu wa Mkoa wa Dar?

Hoja yangu ni kutokuwepo kwa Cheo cha Naibu Mkuu wa Mkoa. Angalia vizuri post yangu uliyoirejea.

Ama mtangazaji/msoma habari wa Itv kakosea bt ndivyo alivyo tambulishwa leo kweye taarifa ya habari ya sa mbili usiku huu. Mwenyewe sikuyaamini masikio yangu mpaka nilipo dhibitisha tena TBC
 
Ni kaimu Mkuu wa Mkoa( Naibu ni cheo cha kudumu mf. Naibu waziri na Kaimu ni Mtu yeyote anayeshikilia madaraka kwa muda- sawa!). Ni uamuzi tu, nikiwa Kigoma nilimwona Mkuu wa Wilaya Kasulu au Kibondo wakimshikia bosi wao mkuu wa Mkoa), labda Mkuu wa mkoa wa Dr hawaamini wakuu wa wilaya zake.
 
Atakuwa ni Kaimu, sio naibu.
Huenda Mecky Sadick kasafiri.
Mara nyingi wakuu wa mikoa jirani hukaimu wenzao wasipokuwepo, au mara nyingne mkuu wa wilaya ndani ya mkoa huweza kukaimu.
Hakuna cheo cha naibu mkuu wa mkoa.
Hayo ya kusogezwa ikulu siyajui, ila sidhani km kukaimu Dar tu ndo kunamaanisha kusogezwa Ikulu!
Uko sawa ndugu, waelezee hawa vichwa nazi wanaopenda kukurupuka, naibu mkuu wa mkoa cheo hicho hakipo ila kaimu mkuu wa mkoa ni sawa na nadhani mecky sadik hayupo!
 
Haya sasa, mmebisha au mmethibitisha kuwa cheo hicho hakipo. Ila cha msingi ni kuwa ametambulishwa hivyo.
Ni mara nyingi waandishi wa habari wanapotosha habari kwa kutokuwa makini.
Mfano mwingine ni yule mwandishi aliyesema eti barabara za mabasi ya kwenda haraka zitakuwa za kiwango cha changarawe badala ya zege "concrete"!
Hapo mwalimu kakosea, mwanafunzi anajifunza nini?
 
wacha wivu huyu mama ni mchapa kazi kweli, ubunge alikosa kutokana na kushindwa kura za maoni, ambapo hakuwa tayari kuhonga,
ni katika mama na kiongozi shupavu mwenye maamuzi thabit fuatilia kazi zake , hayumbishwi na mtu, tuache wivu.
kukosa ubunge sio kigezo cha kutokuwa mweledi, ni kama mashindani tu alie kosa anaweza kuwa bora zaidi ya tulio wakataa, ushahidi upo, tumechagua sio kwa uwezo wa mtu bali kukuomoa mtu .
hakika mwantum ni mcapa kazi kiliko mwana mke yoyote ambaye amewahi kuwa waziri katika nchi hii...

Kama hujui sifa zake kaa kimya! Wakubwa wengi wanampenda kwa sababu ya ubunifu wake.Kama huamini jaribu uone!:target:
 
Huyu mama ananipa shida kwa jambo moja tu - Kujichubua! Ni aibu kwa kiongozi wa umma kwa yeye kujichubua kiasi hicho. Alikuwa wa kawaida wakati ni mkuu wa shule ya Mwl J.K. Nyerere. Lakini nimemuona week iliyopita kwa kweli nimestuka sana.

mkuu wa kaya anapenda vitu whiteee..
 
Huyu mama na wakina John Bendela, Bulihani nk tuliwakataa katika boxi la uchaguzi ila wamependwa zaidi na JK.

Huyu leo nimmsikia naibu mkuu wa mkoa wa Dsm anaumuhimu gani ndani ya taifa hili nakumbuka alikuwa wizara ya elimu akavurunda, jimboni kwake badala ya kupeleka maendeleo akapeleka kwenye mifugo yake akapigwa chini, nikashangaa akawa mkuu wa mkoa wa Pwani sijui imekuwaje na huko leo yuko Dsm anasogezwa tuuuuuuu.........

Kuna usiri gani hapa????? Na ananyodo kweli

wewe hicho sio cheo cha kudumu ni nafasi tu ya kumshikia mkuu mwenzake wa mkoa wa dar ambae atakua ana dharura na haiyumkiniki dharura apate mkuu wa mkoa wa dar akamuachie ofisi mkuu wa mkoa wa rukwa au manyara,unamuachia mkuu wa mkoa wa jirani,nyie watoto wa face book mliolivamia jukwaa kwa fujo baada ya uchaguzi mdogo wa ubunge arumeru mna taabu sana
 
Kwa magamba CV sio kigezo sana na ndio maana hata kina Lusinde wanatumwa kuwakilisha chama, sitashangaa siku nikisikia mkulu kamteua Lusinde kuwa balozi wa kudumu wa Tanzania UN
 
wacha wivu huyu mama ni mchapa kazi kweli, ubunge alikosa kutokana na kushindwa kura za maoni, ambapo hakuwa tayari kuhonga,
ni katika mama na kiongozi shupavu mwenye maamuzi thabit fuatilia kazi zake , hayumbishwi na mtu, tuache wivu.
kukosa ubunge sio kigezo cha kutokuwa mweledi, ni kama mashindani tu alie kosa anaweza kuwa bora zaidi ya tulio wakataa, ushahidi upo, tumechagua sio kwa uwezo wa mtu bali kukuomoa mtu .
hakika mwantum ni mcapa kazi kiliko mwana mke yoyote ambaye amewahi kuwa waziri katika nchi hii...
kashindwa shule ya msingi ataweza dar jiji la visa tele?
 
wacha wivu huyu mama ni mchapa kazi kweli, ubunge alikosa kutokana na kushindwa kura za maoni, ambapo hakuwa tayari kuhonga,
ni katika mama na kiongozi shupavu mwenye maamuzi thabit fuatilia kazi zake , hayumbishwi na mtu, tuache wivu.
kukosa ubunge sio kigezo cha kutokuwa mweledi, ni kama mashindani tu alie kosa anaweza kuwa bora zaidi ya tulio wakataa, ushahidi upo, tumechagua sio kwa uwezo wa mtu bali kukuomoa mtu .
hakika mwantum ni mcapa kazi kiliko mwana mke yoyote ambaye amewahi kuwa waziri katika nchi hii...
aligombea jimbo la Kilindi,akashindwa vibaya na Beatrice Shelukindo ktk kura za maoni CCM. alitumia kila mbinu ikiwa ni pamoja na kugawa zawadi(rushwa) kwa vikundi vya akina mama wa Kilindi. alilalamikiwa kutumia wadhifa wake wa unaibu waziri wa elimu ili achaguliwe! mwisho kama kawaida ya wana CCM,mwenye dau kubwa alishinda!
 
Huyu mama na wakina John Bendela, Bulihani nk tuliwakataa katika boxi la uchaguzi ila wamependwa zaidi na JK.

Huyu leo nimmsikia naibu mkuu wa mkoa wa Dsm anaumuhimu gani ndani ya taifa hili nakumbuka alikuwa wizara ya elimu akavurunda, jimboni kwake badala ya kupeleka maendeleo akapeleka kwenye mifugo yake akapigwa chini, nikashangaa akawa mkuu wa mkoa wa Pwani sijui imekuwaje na huko leo yuko Dsm anasogezwa tuuuuuuu.........

Kuna usiri gani hapa????? Na ananyodo kweli
Ukimwona ngedere mjini basi ujue ni wa kufugwa, ana mwenyewe! Mwenye macho haambiwi tazama.
 
[h=2]Mwantumu Mahiza:[/h]
mimi simjui kwa hiyo siwezi kutoa maoni sahihi. Ila kama unayosema ni sahihi na yeye bado anapanda vyeo vya kuteuliwa namna hiyo basi ni vizuri pia uangalie mambo mengine kame vile:
(a) je ni mtu anayengeaje, je ni mcheshi sana kiasi kuwa wakuu wanashindwa kuwa mbali naye?
(b) je yeye binasi ni mtoto au mke wa nani? katika siasa za Tanzania, mtu atokanaye na ukoo wa wanasiasa atendelea kupewa madaraka ya kisiasa hata kama hayawezi.
(b) je ni mwanamke aliyeolewa? Hapa yatafuata maswali mengi kidogo: kwa mfano
(i) kama ameolewa, je mme wake ni mtu wa namna gani? inawezekana anapewa madaraka kwa heshima ya mme wake. Siasa za Tanzania hizo.
(ii) na kama kweli ameolewa, je ana watoto wa aina ipi? inawezekana anapewa madaraka kwa heshima ya watoto wake. Siasa za Tanzania kama kawaida
(iii) Iwapo hajaolewa; je ni mwanamke wa aina gaina hadi siolewe?
(-a-) Iwapo ana sura nzuri, haitkuwa vibaya kujiuliza namna anavyotumia muda wake wa jioni. Huenda anautumia muda huo kujiunganisha na yanakotoka madaraka.

Kuna mambo mengi sana ya kuangalia kabla ya kujibu swali lako.
 
Huyu mama na wakina John Bendela, Bulihani nk tuliwakataa katika boxi la uchaguzi ila wamependwa zaidi na JK.

Huyu leo nimmsikia naibu mkuu wa mkoa wa Dsm anaumuhimu gani ndani ya taifa hili nakumbuka alikuwa wizara ya elimu akavurunda, jimboni kwake badala ya kupeleka maendeleo akapeleka kwenye mifugo yake akapigwa chini, nikashangaa akawa mkuu wa mkoa wa Pwani sijui imekuwaje na huko leo yuko Dsm anasogezwa tuuuuuuu.........

Kuna usiri gani hapa????? Na ananyodo kweli

Ina maana hujui kilichojificha hapo?

Back
Top Bottom