Mwantumu Mahiza, ana nini? Anasogezwa ikulu japo tulimkataa!

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Huyu mama na wakina John Bendela, Bulihani nk tuliwakataa katika boxi la uchaguzi ila wamependwa zaidi na JK.

Huyu leo nimmsikia naibu mkuu wa mkoa wa Dsm anaumuhimu gani ndani ya taifa hili nakumbuka alikuwa wizara ya elimu akavurunda, jimboni kwake badala ya kupeleka maendeleo akapeleka kwenye mifugo yake akapigwa chini, nikashangaa akawa mkuu wa mkoa wa Pwani sijui imekuwaje na huko leo yuko Dsm anasogezwa tuuuuuuu.........

Kuna usiri gani hapa????? Na ananyodo kweli
 
Taratibu Mkuu, hakuna cheo kinachoitwa Naibu Mkuu wa Mkoa nchi hii.

.......................Hivi leo matokeo ngapi ngapi?
 
Sasa wewe umeamua kuwa mbishi. Hata mimi nimeona kwenye taarifa ya habari nikashangaa huyu maza vipi tena ndani ya Dar!
 
Huyu mama na wakina John Bendela, Bulihani nk tuliwakataa katika boxi la uchaguzi ila wamependwa zaidi na JK.

Huyu leo nimmsikia naibu mkuu wa mkoa wa Dsm anaumuhimu gani ndani ya taifa hili nakumbuka alikuwa wizara ya elimu akavurunda, jimboni kwake badala ya kupeleka maendeleo akapeleka kwenye mifugo yake akapigwa chini, nikashangaa akawa mkuu wa mkoa wa Pwani sijui imekuwaje na huko leo yuko Dsm anasogezwa tuuuuuuu.........

Kuna usiri gani hapa????? Na ananyodo kweli

Too low
 
Sasa wewe umeamua kuwa mbishi. Hata mimi nimeona kwenye taarifa ya habari nikashangaa huyu maza vipi tena ndani ya Dar!

Anafanya nini Dar?
Ni "Naibu" Mkuu wa Mkoa wa Dar?

Hoja yangu ni kutokuwepo kwa Cheo cha Naibu Mkuu wa Mkoa. Angalia vizuri post yangu uliyoirejea.
 
Atakuwa ni Kaimu, sio naibu.
Huenda Mecky Sadick kasafiri.
Mara nyingi wakuu wa mikoa jirani hukaimu wenzao wasipokuwepo, au mara nyingne mkuu wa wilaya ndani ya mkoa huweza kukaimu.
Hakuna cheo cha naibu mkuu wa mkoa.
Hayo ya kusogezwa ikulu siyajui, ila sidhani km kukaimu Dar tu ndo kunamaanisha kusogezwa Ikulu!
 
Kama ni Kamimu (Si naibu) ni kawaida. Mkuu wa Mkoa anapokuwa hayupo, ama mmoja wa Wakuu wa Wilaya ama Mkuu wa Mkoa Jirani anakaimu.
 
Hivi kwa mkuu wa mkoa wa jirani kukaimu ukuu wa mkoa mwengine inaleta maana gani kwa wakuu wa wilaya katika mkoa husika? Hawana uwezo ama vipi?
 
wacha wivu huyu mama ni mchapa kazi kweli, ubunge alikosa kutokana na kushindwa kura za maoni, ambapo hakuwa tayari kuhonga,
ni katika mama na kiongozi shupavu mwenye maamuzi thabit fuatilia kazi zake , hayumbishwi na mtu, tuache wivu.
kukosa ubunge sio kigezo cha kutokuwa mweledi, ni kama mashindani tu alie kosa anaweza kuwa bora zaidi ya tulio wakataa, ushahidi upo, tumechagua sio kwa uwezo wa mtu bali kukuomoa mtu .
hakika mwantum ni mcapa kazi kiliko mwana mke yoyote ambaye amewahi kuwa waziri katika nchi hii...
 
Huyu mama ni Hajjat. Anamcha Allah kuliko hata Mungu aliyemuumba

Huyu mama ananipa shida kwa jambo moja tu - Kujichubua! Ni aibu kwa kiongozi wa umma kwa yeye kujichubua kiasi hicho. Alikuwa wa kawaida wakati ni mkuu wa shule ya Mwl J.K. Nyerere. Lakini nimemuona week iliyopita kwa kweli nimestuka sana.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom